Erdogan asema Uturuki sasa kuingia Israel kuwasaidia Wapalestina

Mbona unachozungumza hakiendani na maelezo yangu!?
Punguza wenge na usome kwa makini mkuu.
 
WEWE UNA AKILI. HAWA JAMAA WENGINE HAWAJIELEWI. UWEZO MDOGO WA KUFIKIRI.
Vita inahitaji uchumi,Iran pia haina adui mmoja.
Sio kama Iran haina nguvu ila kwasasa haipo katika wakati sahihi wa kuanzisha vita.
Ijenge tu uchumi na kujitahidi kumaliza vikwazo vya uchumi vya kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…