#COVID19 Eric Kabendera: Magufuli alifariki kwa COVID-19 mwaka 2021


Mkuu naomba link ya hiyo YouTube clip husika. Najaribu kusearch YouTube zinakuja videos nyingi, sioni huyo dogo unayemsema.
 
Angewekwa na nani quarantine wakati yeye alipiga marufuku na kusema huo ugonjwa haupo.

Sembuse hata madaktari walikua wanapata kikugumizi kumtaarifu
Hakukataa kuwa covid haipo, na ndio maana kuna juhudi kadhaa zilifanyika kama kupiga nyungu na hata kujaribu kutafuta dawa kutoka Madagascar.

Kikubwa alichokataa ni watu kujifungia ndani eti sababu ya covid alitaka shughuli ziendelee kama kawaida hata ivyo ili work na hata nchi za magharibi zilizotaka watu wajifungie walirudi kwenye mtazamo huo.
Kitaaalam mwili wa binadamu unauwezo wa kupambana na mazingira yake kwakutengeneza kinga wenyewe. Unapokuwa kwenye certain harmed environmental or disease mwili unatengeneza resistance to that certain antigen. Na ndio maana kuna watu hawakuchanja na wapo mpaka leo na wanadunda vizuri.
 
Kaflag anamwaga wino tu, anaandika lolote ataloona linafaa kwake.
Naaani wa kumdaka huko ughaibuni, je sirikali yetu ina kono refu kama Russia/North Korea/Israel kumuangusha wasie mhitaji hata akiwa mbali???
Hata akidanjishwa now kitabu tayari kipo na kitakuwepo
 
Mkuu kama wewe umekubaliana na kabendera katika hili bas yawezekana Kabendera ana taarifa nyingi za ndani
 
Jamaa ana hate na Jiwe sana ana amini ndio sababu ya kifo cha mama ake
 
Kuna washabiki wa 2Pac mpaka leo hawakubali 2Pac kafariki.

Nilifikiri na washabiki wa Magufuli nao watasema hajafariki yupo kajificha, yule aliyezikwa si yeye.

Maana wanabishia kila kitu, hata vitu vilivyojulikana kabla ya Kabendera kuandika.

Yani sasa hivi hata ukiandika Magufuli alikuwa na nyumba ndogo kwa Kidoti Kisarawe kuna raia wazalendo watapinga au wata rationalize.
 
Kabendera katumika vizuri kufikisha ujumbe lakini hiki kitabu muasisi wake ametulia anagonga mvinyo taratibu anapima kilivyopokelewa na uzuri timing ndo yenyewe kabisa kwani kimeingia mtaani kwa wakati.
 
Kabendera katumika vizuri kufikisha ujumbe lakini hiki kitabu muasisi wake ametulia anagonga mvinyo taratibu anapima kilivyopokelewa na uzuri timing ndo yenyewe kabisa kwani kimeingia mtaani kwa wakati.
Mkuu,

Upo JF hujulikani. Muasisi wake unayemkusudia ni nani?
 
Mmh! Kuna kaharufu ka kusafisha watu ambao walikisiwa kuhusika kumterminate!
Lakini inafikirisha!
Kuwasafisha? Au una maanisha kuwanyima credit zao wanaohisiwa kum terminate?
 
Kabendera katumika vizuri kufikisha ujumbe lakini hiki kitabu muasisi wake ametulia anagonga mvinyo taratibu anapima kilivyopokelewa na uzuri timing ndo yenyewe kabisa kwani kimeingia mtaani kwa wakati.
Kama nyuma ya Kabendera kuna watu halafu wanajificha kiasi hicho, basi watu hao lazima awep Kabudi, Bashiru, Siro na Diwani, Madilu na yule aliyekuwa main-wofa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…