Eric Mandala akamatwa na kilo 200 za Cocaine

Ukiona mtu kapasua haraka hivyo basi nyuma kuna biashara tofauti
Hata hao manabii na wasanii wetu wamo sana
Ndio maana Submarines zinaongezeka huko
Maana siku hizi Nyambizi zinakuja mpaka Europe kutoka Mexico na Columbia
Hata Africa naona zinakuja
 
DRC ndo makao makuu ya machawa na praise singers. Mcongo kumsifia mtu ili apate chochote ni kama kunywa juice ya baridi saa 8 mchana pale mtaa wa Congo, Kkoo. Wasanii wa DRC waache ujinga wa kutunga nyimbo za kusifu watu kama miungu. Koffi Olomide ana wimbo unaitwa Mike Mosisi ambaye ni kiongozi wa serikali huko Eastern DRC. The late Franco naye ana wimbo wa kumsifu Dikteta Mobutu... wimbo mrefu ila huchoki kusikiliza... ni hit song iliyojaa propaganda.
 
Bora Madilu yeye aliimba wimbo wa kuwataja, na kuwasifu wanamuziki wenzake wote wa Congo, kama vile Mr Misosi alivyoimba wimbo wa Mr Misosi nitoke vipi.

Huenda Fally na yeye anafungu lake kweny hiyo biashara, au alishikishwa amsifu mke wa mwanaume mwenzake.
 
Wanamuziki wa DRC wana upumbavu sana. Wale jamaa waliokuwa wanazuia matamasha yao Ulaya walikuwa na hoja.
 
Back
Top Bottom