Eric Mandala akamatwa na kilo 200 za Cocaine

Eric Mandala akamatwa na kilo 200 za Cocaine

DRC ndo makao makuu ya machawa na praise singers. Mcongo kumsifia mtu ili apate chochote ni kama kunywa juice ya baridi saa 8 mchana pale mtaa wa Congo, Kkoo. Wasanii wa DRC waache ujinga wa kutunga nyimbo za kusifu watu kama miungu. Koffi Olomide ana wimbo unaitwa Mike Mosisi ambaye ni kiongozi wa serikali huko Eastern DRC. The late Franco naye ana wimbo wa kumsifu Dikteta Mobutu... wimbo mrefu ila huchoki kusikiliza... ni hit song iliyojaa propaganda.
Mkuu tupia huo wa Franco nami nipate kuikumbuka zamani yangu.
 
Zaidi ya hayo, mwaka 2020, Eric Mandala alijivunia kununua nyumba ya kifahari katika jengo refu zaidi duniani, Burj Khalifa, jijini Dubai, kwa kiasi cha Euro milioni 1.85 cash, jambo ambalo lilishangaza wengi na kuacha vinywa wazi.
kwani Euro milioni 1.85 ni nyingi kiasi gani hadi watu washangae na kubaki vinywa wazi?
 
Biashara ya madawa kuna yafuatayo,,,
1 mchimba kisima kuingia mwenyewe, yani
We wauzie wenzio lkn one day na we utayabwia,
2 usipoyavuta wewe basi mmoja kati ya kizazi cha hata mwanao ,dada yako nk nao watayabwia..
3 yote yakikukosa basi jela inakuhusu tena mvua nyingi tu.
4 kuuwawa na wafanyabiashara wenzio, serikali nk.
NB, hapa naamanisha wafanyabiashara wakubwa wa ngada sio kama wale wauza vipinchi soko la zamani ukwamani au wale wa kule manzese shidele
 
Back
Top Bottom