Kwa wanaouliza wasanii wa Muziki wanakuwaje Matajiri lakini Utajiri wao haundelei kwa vizazi, njia hii na Kutakatisha fedha ndio huwapa pesa zao, wote unaowaona wanapesa nyingi, how they do it.
Muziki ni kazi ambayo mapato yake hulipwa kwa "Cash money", unga na madawa ya Kulevya huuzwa kwa "Cash Money" lakini ukiwa huna kipato/biashara ya Kueleweka huwezi kuelezea pesa umepata wapi.
So Wafanya biashara wa Madawa ya Kulevya, humfata msanii (Mfano Almasi) na kumwambi kwenye shoo yako umepata viingilio vya 1M TZS mimi nina 100M TZS ndani hivi hela nataka kuziweka Bank, Tunafanyaje? Hapo ndio msanii ataomba kwenye deal apewe 20M wakikamilisha, zile 101M TSZ zinapelekwa bank kama hela zilizopatikana Kwenye show and vijana wetu wanakuwa wameathirika na madawa, pia njia ya kuzitakatisha hivi fedha ni kununua high value properties kama Magari na mikufu ya Thamani na vitu vingine ambavyo huficha footprints za vyanvo vya mapato.
Tanzania tukiwa serious na financial crimes watu wengi wataenda jela, kwanza kabisa Uchunguzi wa kina ungefanya na uanzishwaji wa Vituo vya mafuta ambavyo vitakufa in next 5 years, Nyumba ambazo huuzwa ghali kuliko thamani yake, na hata vyombo vya Radio vinavyoanzishwa na wasanii wa Muziki au watu wenye ukaribu na wanasiasa, wasanii wote wanaoalikwa na CCM
Ni mtu asiye utulivu wa akili ndio anayeweza kuamini Chadema wanazidiwa uwezo/nia ya Kuanzisha chombo cha habari na Wasanii wa muziki(Hivi vyombo vya Habari vya Wasanii siku vifanyiwe uchunguzi wa Kina).