Toughlendon
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 498
- 724
Michezo ya Dan Bilzerian jamaa kapiga pisi nyingi za moto sana...Hela ya kupiga orgy ndani ya private jet hiyo. Yaani nakodi private jet from dubai to cape town full kudinyana na warembo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Michezo ya Dan Bilzerian jamaa kapiga pisi nyingi za moto sana...Hela ya kupiga orgy ndani ya private jet hiyo. Yaani nakodi private jet from dubai to cape town full kudinyana na warembo
Umeenda deep. Utakatishaji ni tatizo kubwa. Sio wasanii tu hata vijana wanaoibuka na utajiri mkubwa ambao ukipiga hesabu haiingii akilini kupiga hela nyingi kwa muda mfupi sana. Vijana wanafungua biashara za mamilioni mengi tu halafu hapohapo anunua gari la bei mbaya huku ujenzi wa hekalu ukiendelea. Cha kushangaza atalipa media kumtangaza. Na yote haya yanafanyika chini ya miaka 10 toka aanze mishe. Sheria ikifuatwa wengi wataenda jelaKwa wanaouliza wasanii wa Muziki wanakuwaje Matajiri lakini Utajiri wao haundelei kwa vizazi, njia hii na Kutakatisha fedha ndio huwapa pesa zao, wote unaowaona wanapesa nyingi, how they do it.
Muziki ni kazi ambayo mapato yake hulipwa kwa "Cash money", unga na madawa ya Kulevya huuzwa kwa "Cash Money" lakini ukiwa huna kipato/biashara ya Kueleweka huwezi kuelezea pesa umepata wapi.
So Wafanya biashara wa Madawa ya Kulevya, humfata msanii (Mfano Almasi) na kumwambi kwenye shoo yako umepata viingilio vya 1M TZS mimi nina 100M TZS ndani hivi hela nataka kuziweka Bank, Tunafanyaje? Hapo ndio msanii ataomba kwenye deal apewe 20M wakikamilisha, zile 101M TSZ zinapelekwa bank kama hela zilizopatikana Kwenye show and vijana wetu wanakuwa wameathirika na madawa, pia njia ya kuzitakatisha hivi fedha ni kununua high value properties kama Magari na mikufu ya Thamani na vitu vingine ambavyo huficha footprints za vyanvo vya mapato.
Tanzania tukiwa serious na financial crimes watu wengi wataenda jela, kwanza kabisa Uchunguzi wa kina ungefanya na uanzishwaji wa Vituo vya mafuta ambavyo vitakufa in next 5 years, Nyumba ambazo huuzwa ghali kuliko thamani yake, na hata vyombo vya Radio vinavyoanzishwa na wasanii wa Muziki au watu wenye ukaribu na wanasiasa, wasanii wote wanaoalikwa na CCM
Ni mtu asiye utulivu wa akili ndio anayeweza kuamini Chadema wanazidiwa uwezo/nia ya Kuanzisha chombo cha habari na Wasanii wa muziki(Hivi vyombo vya Habari vya Wasanii siku vifanyiwe uchunguzi wa Kina).
Bro ununue PENT HOUSE KWA BILION 5 ? MINI USIFANYE MCHEZOO...kwani Euro milioni 1.85 ni nyingi kiasi gani hadi watu washangae na kubaki vinywa wazi?
Shikamoo pesa !Euro milioni 1.85 cash
Michezo ya wakubwa hio atatoka akiwawekea kibunda kizuri na kizito mezaniYoka bebeee Erick Mandala, Maria Mandala soka tiki nangayeee 😹😹😹
Tena wasimtoe fallah huyo anamaliza vijana kwa ngada.!!!
shidele hakuna ishu wababe wote wapo shidele segereaNyonzo bin mvule umenikumbusha shidele manzese hiyooo
Mtu yoyote mwenye pesa kuanzia billioni
weka mashaka juu yake hasa za kutafta mwenyew sio za kurithi
RIDERSG H O S T
Hamna hamna huku kwa Bibi nyau billion dollars ni ndogo? Shikamoo pesaBilioni ndogo sana. Wengi wanapata kihalali tu.
2020 katoka kununua apartment Burji Khalifa, hapo waarabu wanaitaka apartment kimserereko dadeq..!!Michezo ya wakubwa hio atatoka akiwawekea kibunda kizuri na kizito mezani
Nenda pale BOT waulize kwa pesa hio wanakupa mawe mangapi ya dhahabu tupu, wakikupa jibu njoo hapa utuletee mrejeshokwani Euro milioni 1.85 ni nyingi kiasi gani hadi watu washangae na kubaki vinywa wazi?
Ukiangalia hii documentary utajifunza mengiPichani ni Eric Mandala Kizenga, raia wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Fally Ipupa alitunga wimbo maarufu kumsifia mkewe, Maria Piron Mandala (PM). Wimbo huu ulizua gumzo sana, na kuonyesha namna alivyokuwa akimpenda mkewe.
Hata hivyo, kuanzia juzi, habari kuhusu Eric Mandala zimekuwa tofauti kabisa. Mtu huyu ambaye alikuwa akitajwa kuwa na utajiri mkubwa nchini Kongo sasa amekumbwa na kashfa kubwa. Juzi, akiwa nchini Colombia, Eric Mandala alikamatwa akiwa na kilo 200 za cocaine ndani ya gari lililokuwa limeegeshwa kwenye moja ya malls maarufu nchini humo.
Cocaine hiyo inadaiwa ilitoka Ecuador na ilikuwa inaelekea Morocco kupitia bandari ya Algeciras, Hispania.
Mandala alikamatwa pamoja na mwanamke wa Kikolombia, na walikamatwa wakiwa na kiasi cha dola 50,000 za kimarekani taslimu. Polisi waligundua kuwa Eric Mandala alikuwa akifuatiliwa na maafisa wa kudhibiti dawa za kulevya tangu Agosti mwaka jana, na hatimaye alikamatwa juzi kwenye mtego wao.
Zaidi ya hayo, mwaka 2020, Eric Mandala alijivunia kununua nyumba ya kifahari katika jengo refu zaidi duniani, Burj Khalifa, jijini Dubai, kwa kiasi cha Euro milioni 1.85 cash, jambo ambalo lilishangaza wengi na kuacha vinywa wazi.
Wakati Eric Mandala akisota kwenye mikono ya polisi, maswali yanajitokeza kuhusu kama Adolphe Muteba Tshilamwina ataungana na mzozo huu au ataepuka mtego huu. Hali inavyokuwa ni ngumu kusema, lakini ni wazi kuwa hadithi hii itazidi kutoa makala nyingi.
View attachment 3214542
Wewe Godlove Chife wa Mambo ya Kienyeji kutoka Mama Jon Mbeya umetoa wapi hizi hela? Hivi kuna huyo wa kufanya hivyo? Huyo si Hamirapa aliechangamka doktashikaUmeenda deep. Utakatishaji ni tatizo kubwa. Sio wasanii tu hata vijana wanaoibuka na utajiri mkubwa ambao ukipiga hesabu haiingii akilini kupiga hela nyingi kwa muda mfupi sana. Vijana wanafungua biashara za mamilioni mengi tu halafu hapohapo anunua gari la bei mbaya huku ujenzi wa hekalu ukiendelea. Cha kushangaza atalipa media kumtangaza. Na yote haya yanafanyika chini ya miaka 10 toka aanze mishe. Sheria ikifuatwa wengi wataenda jela
Kwanini anyongwe?Wamnyonge haraka sana
Don Colombia??? Don congo huku na hibyo vi B kadhaa...columbia huko yeye ni kenge tuKwanini aendeshe mwenyewe gari na ni Don, angetuma vijana tu!!
Ndio ukwel wenyewe huu..Do or Die
Kilo 200 lazima alikuwa akitumia watu, tatizo ni time ya kuukabidhi nadhani akataka aukabidhi mwenyewe, within a year atakuwa uraiani na atapiga mabao zaidi.Kwanini aendeshe mwenyewe gari na ni Don, angetuma vijana tu!!