Eric Shigongo, njoo hapa nikufundishe maana ya vita ya kiuchumi

Congo na USA wana vita gani ya kiuchumi?

Halafu nyinyi CCM kumtaja Lissu mnaona kama ni kusafisha majina yenu?

Nakuonya uachane na Lissu,waliojaribu kumuua waulize leo maisha yao yalivyo.
 
Sidhani kama wewe ni mwanajeshi. Kama ni mwanajeshi umewaza vita kama vita ya kijeshi siyo ya kiuchumi, huelewi.
 
Uchaguzi haurudiwi mkuu, Katiba inampa mamraka ya moja kwa moja VP kuchukua nafasi mpaka kipindi kitakapoisha. Pia ana mamlaka ya kuvunja Baraza la mawaziri na kuteua lengine
2025 awatarudi thus wamekazania atawale milele hofu kufa njaa,amelaaniwa mtu yule amfanyae mwanadamu Kinga yake.Mipango ya Mungu siyo ya mwanadamu.
 
Acha kupotosha ile ilikua vita ya ki mazingira, na haijaanza Leo. Toka enzi za Nyerere. Yaani mzungu anajali mazingira yako kuliko wewe mwenyewe ni aibu.

Kwa nini tusingeengeeleza umeme wa Gasi
 
wewe jamaa si mlinzi wewe ulisema wa manispaa mara leo unekua osikari?
 
Makampuni ya kimataifa .Vita ya kiuchumi huwa hasa kati ya makampuni ya kimataifa.Mfano ujenzi wa bwawa kubwa la umeme la Mwalimu nyerere tuiingia vita ya kiuchumi sababu mataidfa makubwa hayautaki huo mradi...
sina uhakika kama unayoyasema yana ukweli 100%. kwa sababu hawa jamaa wakitaka kukupiga hata huko kwenye umeme wetu watatupiga tu tena huko ndio hata usiseme.

Kumbuka mitambo na vipuli vyote tunategemea toka kwao, kama ni vita ya kiuchumi kwelikweli wakituwekea vikwazo hapo ndio tutajua maana halisi ya vita ya kiuchumi, tutasimama kabisa.

Tuacheni politiki tuijenge nchi yetu kwa mbinu zetu tuache kusingizia watu wengine tunapokosea. Rasilimali ni zipi hizo za kujivunia zaidi ya ardhi bora na watu wenye nguvu tulio nao!?!, tuwekeze sana kwenye kilimo na afya/elimu ya watu wetu huko ndio pa kutokea.

Madini tunayo kidogo sana, mfano kwenye dhahabu kwenye uzalishaji au reserve tuliyonayo hata kwenye 15bora za dunia hatumo. tuwekeze kwenye kilimo dunia yote hii inataka chakula.
 
Acha kupotosha ile ilikua vita ya ki mazingira, na haijaanza Leo. Toka enzi za Nyerere. Yaani mzungu anajali mazingira yako kuliko wewe mwenyewe ni aibu.
Kwa nini tusingeengeeleza umeme wa Gasi
Unasikia wewe jwao walikuwa na mbuga kibao wakaziua zote wakajenga viwanda sisi hatukukuwapinga sasa huku kwetu d
yanawahusu nini? mikataba yote ya kudhibiti hewa ya ukaa wamegoma kusaini viwanda vyao vinafuka moshi kwenda mbele na kuchafuwa hewa ya dunia

Kwetu wanapiga vita kisingizio cha mazi gira mbona wao walikata miti wakaimaliza wakala wanyama wao wote na mbuga kuua ili wajenge miviwanda .Sisi huo utoto hatuuwezi. Tuna maeneo misitu kibao.

Na nyie waswahili jiongezeni kupewa tuhela tudogo tu twa uanaharakati msijitoe akili .

Unajua wakikaa kuwaongelea mnavyoimba wimbo wao unajua wanawacheka na kuwaita mibwege kwenye vyao.Utasikia lipe pesa lile bwege likapige kelele nchini kwake!!

Kuna shirika la misaada la Norway la Norad walitakiwa kujieleza jinsi wanavyosaidia Tanzania kwenye kamati ya wabunge

mnorway akaona hapa siwezi jieleza vizuri akashauriwa kazi hiyo ampe mswahili aseme kwa niaba ya watanzania ambao ni beneficiaries akalipwa kaposho kazuri aandae presentation

Alipofika Norway alishusha presentation ya kufa mtu hadi wanorway wakawa embarrased kuwa anaijua Norad kuliko hata wao!! wenye shirika lao alisifia akaweka michumvi kibao humo hadi wazungu wakasema Mwisho kwenye hitimisho you speak like a citizen of Norway not Tanzania !!!! Wakaangua kicheko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…