Sio kweli China kabadili game.Vingi vya umeme havitoki kwao tena.Nenda maduka yote ya vifaa vya umeme ukiona kifaa cha mzungu ni bipsina uhakika kama unayoyasema yana ukweli 100%. kwa sababu hawa jamaa wakitaka kukupiga hata huko kwenye umeme wetu watatupiga tu tena huko ndio hata usiseme. Kumbuka mitambo na vipuli vyote tunategemea toka kwao,
Mkuu ina maana viongozi wale wote wa gov wanaposema tunapigana vita vya kiuchumi kumbe hawajui wanacho kiongea? 😂😂😂 Usitake niwacheke.Babati nzuri nina kipaji cha ualimu ingawa mimi ni Askari kwa fani...
Nina uhakika huyu Bwana Shigongo pamoja na Umahiri wake katika Kuelimisha rika lakini Hana ufahamu na anachokiongeaBabati nzuri nina kipaji cha ualimu ingawa mimi ni Askari kwa fani...
Sasa hilo bwawa la kutengeneza vifaa vya umeme au la kuzalishia umeme?Unasikia wewe jwao walikuwa na mbuga kibao wakaziua zote wakajenga viwanda sisi hatukukuwapinga sasa huku kwetu d
yanawahusu nini? mikataba yote ya kudhibiti hewa ya ukaa wamegoma kusaini viwanda vyao vinafuka moshi kwenda mbele na kuchafuwa hewa ya dunia...
Niliwahi hisi una akili timamuMakampuni ya kimataifa. Vita ya kiuchumi huwa hasa kati ya makampuni ya kimataifa. Mfano ujenzi wa bwawa kubwa la umeme la Mwalimu nyerere tuiingia vita ya kiuchumi sababu mataidfa makubwa hayautaki huo mradi .Hawataki tujitosheleze kwa umeme kwa nini? Tuendelee kununua umeme kwenye mitambi ya makampuni yao ya kimataifa iliyoko nchini!!!
Sababu tukijitosheleza kwa umeme wetu mitambo yao kazi haina na dola haziendi kwao tena!!
Umenifanya hata mimi nimfikirie mara mbili mbili huyo mtu, sidhani kama kweli alikuwa anazitunga yeyeYaonekana hata zile hadithi zake alikuwa anacopy sehemu na kuzi interprete. Kwa maneno yake siamini kama ana kipaji hata cha utunzi.
Waliopita bila kupingwa uchaguzi ukirudiwa hakuna atakaerudi, hawakutegemea mambo kugeuka hakika ni msiba mzito kwao.
Mleta mada hata hicho kipaji cha ualimu huna na hujui chochote kuhusu vita za kiuchumi pamoja na uaskari wako.
Congo na Marekani hazifanani lakini kuna vita za kiuchumi za kuga mtu.
Libya au Iraq hazifanani kiuchumi na marekani hata robo lakini kuna vita za kiuchumi za kufa mtu zilizosababisha Gadaffi na Saddam Hussen kupinduliwa.
Vita ya kiuchumi yaweza lenga kushika soko la nchi hudika au kukamata raslimali za nchi husika mfano waweza taka kuweka kibaraka wao Lisu mbelgiji ili wapore raslimali zetu.
Ww ndio umeelezea vzuri ila umekosea hapo mwishoni.Kwako mtoa mada, naona kuna kitu kidogo umeshindwa kutambua japo umeeleza vizuri kabisa kwamba hii vita ya kiuchumi inaweza ikawa direct au indirect.
Kuna wazungu na wachina, ila Tz imeamua kumpa miradi yake mingi Mchina. Na hapo Mmarekani na mchina wana ushindani wao.
Je unafikiri Mmarekani atatusupport sisi tuliochagua kufanya kazi na mchina.
Binafsi naona kuna vita ya kiuchumi dhidi ya Tz na hawo mabeberu, japo ni indirect.