Eric Shigongo, njoo hapa nikufundishe maana ya vita ya kiuchumi

Yaani mtu anakupa fedha kwa ajili ya bajeti ya serikali yako, maana makusanyo yako ya kodi na vyanzo vingine havikidhi bajeti yako yaani ina deficit budget afanye na vita na wewe kwa lini, tuache fikra potofu kabisa zisizo na ukweli wowote, tunapewa dawa, mikopo, misaada mbalimbali halafu wafanye vita na sisi huo ni UONGO MKUBWA.
 
Hawa si kwamba ni vichaa.
Wanajua maana ya vita ya kiuchumi ila wanaact tu wakijua Watanzania ni wapumbavu.
 
Umeme wa gas ambao ni wa uhakika kuliko maji umeishia wapi au haukuwa na 10% .Mzungu akuonee wivu kwa lipi,mtu usiyeweza hata kujenga choo huku wanafunzi wanakaa chini.
 
Sandals Ali:

Shika Bunduki hiyo ndivyo stahili na stahiki ya ubongo wako. Akili za yako haiwezi kunyambua hiki kinachoendelea. Vuvu lako ni Dogo Sana litapasuka.

Narudia tena komaa na Bunduki mwanangu haya mengine achana nayo...
 
Umeme wa gas ambao ni wa uhakika kuliko maji umeishia wapi au haukuwa na 10% .Mzungu akuonee wivu kwa lipi,mtu usiyeweza hata kujenga choo huku wanafunzi wanakaa chini.
mitambo ya umeme inayotumia gesi ya kinyerezi inatumia gesi ya wapi?

Mitambo mingi ya viwandani inatumia gesi direct .Hawahitaji umeme wa gesi wanahitaji gesi yenyewe na wanapewa

Hujui kuwa kuna viwanda kibao vinatumia gesi sasa hivi na gesi imeshaanza kufungwa gesi ya majumbani ya mabomba kama ya maji na hilo hujui?

Uko Tanzania hii au ubelgiji unaonyesha huko informed
 
Vita ya kiuchumi ipo lakini mtanzania hawezi kushinda kwa sababu hana uhuru wa kweli. Mpaka tupate uhuru ndiyo tutaweza kupigana vita ya kiuchumi.
 
Ni bora kuboresha mabwawa yaliyopo kwa kuyaongezea uwezo mfano kutoa tope bwawani na kufunga mashine mpya za kisasa zitumiazo maji kidogo speed kubwa.
 
Shigongo mdogo wangu! Usiingilieni uani kwa mambo usiyoyajua. kama kweli unakijua ukisemacho, basi naomba unitajie beberu mmoja tu ambaye sisi tunatakiwa kuepukana naye au hatuna shirka naye.
 
Ni bora kuboresha mabwawa yaliyopo kwa kuyaongezea uwezo mfano kutoa tope bwawani na kufunga mashine mpya za kisasa zitumiazo maji kidogo speed kubwa.
Huna mkataba na Mungu kuwa mvua lazima inyeshe.Gas ipo itumike pia
 
Huyu Hana jipya kwani hata ubunge amepewa ktk kapu tu
 
Tatizo watu hawajasoma political economy ila wanarukia tu eti "vita ya uchumi". Tanzania tuna uchumi gani wa kuingia vitani na taifa lolote? Vita ya USA na China naielewa lakini siyo TZ. Kwani tunagombania soko gani la uchumi duniani? Tunataka kuteka soko gani duniani? Sisi hatuna hata mkandarasi mmoja Somalia, tuna ujasiri gani wa kusema tupo vitani, vita ya uchumi?
 
Umetaja hizo nchi zilizokuwa na zilizo na vita ya uchumi. Mbona sasa hutaji sisi tunapigana na nani hiyo vita ya uchumi? Mnaishia tu kusema mabeberu. Kwa nini usitaje nchi tunayopigana nayo? Mbona umetaja Congo na Marekani; Libya na Iraq. Sasa mbona tutaji Tanzania na......?
 
Political economy huilewi Vita ya kiuchumi hupigani nchi kwako unapigana nje ya mipaka kwanza.Mfano china inapata madini yake ya kutengeneza simu Congo na inaua masoko ya simu za marekani
Marekani itakachofanya ni kwenda kuvamia congo kuwa hakuna demokrasia!!! wanaikalia kimabavu ili china asipate material kule .Wanaweka utawala kibaraka ambai utaingia mikataba ya kuuzia tu madini kampuni za marekani kwa kisingizio kuwa Narekani hawataki wauze madini kwa china mvunja haki za binadamu na ambaye hadi leo hana vyama vingi!!! Sababu hilo likibaraka limewekwa na marekani madini yote yatauzwa kwa makampuni ya marekani na marekani inapiga marufuku kampuni za marekani kufanya biashara na china!!! case closed.China soko linakufa la simu zake Tanzania na TRA haipati kodi na ajira zinakufa!!!
 
Nadharia za kusingizia wazungu juu ya kushindwa kwetu zipo Afrika pekee.
.Mzungu ndie anakwambia piga watu risasi,bambika,teka,filisi.
.Ndie anakwambia nunua v8 badala ya trekta?
.ndie anakwambia nunua ndege zipark
.nunua wapinzani badala ya kununua madawati.
.pambana watu badala ya maendeleo?
 
Mtoa mada naona umeliangalia hili jambo kwa juu tu. namna Marekani na wenzake wanavyopigania kudhibiti rasilimali za Afrika 👇👇
 
unawaza kivivu sana.
au unawaza kwa kurahisisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…