Eric Shigongo, njoo hapa nikufundishe maana ya vita ya kiuchumi

Hatukubaliani naye kama alilala basi aamke peke yake
Nalog off
 
Kawadanganye malofa wenzio.
 
Tafsiri ya neno Vita ni kupigania/kugombania.....hivyo tunaposema vita ya kiuchumi basi ni Mtu, Jamii au Kundi moja kupigana na jingine ili kupata manufaa ya kiuchumi.

Kwa hali halisi ilivyo sidhani kama "Mabeberu" wanaweza kuwa na vita ya kiuchumi na Nchi kama yetu....Kwamba Marekani au Uingereza wanapambana na sisi ili tusije kuwapiku kiuchumi?.
 
Sasa je, ni nchi gani ya kibeberu inafight na Tanzania kukaa peak?
Lengo la vita ya kiuchumi sio kukaa peak pekee mkuu. Hivi unajua hata biblia imeandika "Na Yule Asiyekuwa Nacho Hata Hicho Kidogo Alichonacho Atanyanganywa". Hivi unajua ya kuwa Nairobi ndio makao makuu ya ngome za mabeberu kwa Afrika ya Mashariki? Unafikiri Mabeberu hawawezi kuisaidia Kenya katika vita ya kiuchumi dhidi ya Tanzania?

Mkuu, hivi unajua wakati wa vita baridi kati ya USA na USSR nchi ndogo ndogo kama Cuba zilitumika katika mapambano ingawa wahusika wakuu ni warusi na wamarekani?

Kaka mkubwa acha kukalili maisha na jua ya kwamba, mabeberu wanaweza kuwasaidia mahasimu wetu katika kupambana na Tanzania.
 
Una akili timamu?
Unadhani unaweza kuajiriwa kama mlinzi kwenye taasisi imara kama hujawa Askari.
Kwa tafsiri yako Askari ni nani?
Na ni nini majukumu yake?
Proffesionally; askari yeyote ni mlinzi.
 
Kuna story yake mskumbuka inaitwa Dangerous document kwenye miaka ya 2006. Mhusika ni Dungen.
Ndani yake kulikuwa na vita ya kiuchumi kati ya Japan & China walioungana dhidi ya USA.
Lakini kwa hili, inaonesha hawatungi bali wanatafsiri story za watu. Aidha uwezo wa fikra ni tofauti na uandishi wao
 
Semeni wapiganapo mafahali wawili ziumiazo ni nyasi, Wakubwa wakipigana vita ya kiuchumi athari tunapata sisi, Tupigane vita ya kiuchumi kwa ubavu gani haswa? uchumi upi haswa? Huu wa propaganda za enzi za mwalimu kuwa tunautajiri wa maliasili kuliko nchi zote duniani!? wakati huo kuna nchi ina utajiri wa mafuta tu wenye thamani ya utajiri wetu wote.
 
Yeye alipodhulumiwa hela za sare na kofia alizosambaza ccm mwaka 2015 hadi akamwaga chozi hadharani alikuwa na vita ya uchumi na nani ?
 
Wazee hawaongopi, mwanadamu anabadilika kulingana na hali ya mazingira Leo nimeamini
 
Ajui chochote kuhusu mabeberu huu ni msamiati kwake ajikite kwenye fani yake ya kuuza udaku.
 
Vita ya kiuchumi ni pana kuliko maelezo yako uliyotoa.
Chukulia Saudi Arabia ni nchi namba 1 kwa military spending lakini hawauziwi silaha za kisasa zaidi
Nenda Iran pamoja na kuzalisha mafuta mengi (Nchi ya nne kwa crude oil duniani) lakini bado hawaruhusiwi kumiliki technolojia ya kusafisha mafuta duniani. Katika mahusiano ya kiuchumi mataifa yanasumbuka kuwa na Favourable Balance of trade hata na Nchi masikini.
Japo nchi yetu ni masikini lakini tunafanya kazi na wawekezaji wakubwa sana na makampuni yenye ushawishi wa hatari. Wakandarasi wakubwa wanapigiwa debe na nchi zao kupata tenda kwa bei ajabu ili wakalipe kodi kwao, watumie malighafi za kwao na kutuachia hela ya vibarua tu hapa bongo.
Nchi za 3rd World Country ni masikini kwa sababu pia mataifa tajiri yanapambana tubaki masikini daima na yaendelee kutunyonya.
Bidhaa zetu wanazotumia kama rasilimali wanatupangia bei ya chini wakati wao wanatuuzia finished goods kwa bei za hatari wanazojipangia.
Hata kuipa serikali ya Misri tenda ya kujenga Stiglers gorge na kuwaacha konoike inatosha kuchochea vita ya kiuchumi. Makampuni haya makubwa yanajiingiza kwenye michezo michafu kufadhili chaguzi na kuweka watu wao wajihakikishie influence mbele ya safari.
Leo hii Makampuni makubwa karibu yote yanaondoka au kwenda mahakamani.. Mikataba isiyo na maslahi inabadilishwa. Nakumbuka jinsi Acaccia walivopoteza thamani ya hisa kwa zaidi ya 50% kwa nini usiingie kwenye vita ya kiuchumi!?
 
Punda wewe unajua nini?
Subiri 19/3/2021[emoji24][emoji24][emoji24][emoji3517][emoji3517][emoji3517]
 
Umejitahidi kuandika pumba nyingi. Next time jielimishe kuhusu vita ya kiuchumi.
 
Huyu ugoko nilikua namuheshim kumbe mburula kama wengine tu...kajidhalilisha mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…