Eric Shigongo, njoo hapa nikufundishe maana ya vita ya kiuchumi

Eric Shigongo, njoo hapa nikufundishe maana ya vita ya kiuchumi

Sio kweli China kabadili game.Vingi vya umeme havitoki kwao tena.Nenda maduka yote ya vifaa vya umeme ukiona kifaa cha mzungu ni bip
ndugu yangu ninaposema mitambo na vipuli simaanishi switch sockets za tronics, namaanisha mitambo na vipuli from mfano SIEMENS,HITACHI,na vitu kama hivyo na most likely ndivyo vitakavyotumika
 
Makampuni ya kimataifa. Vita ya kiuchumi huwa hasa kati ya makampuni ya kimataifa. Mfano ujenzi wa bwawa kubwa la umeme la Mwalimu nyerere tuiingia vita ya kiuchumi sababu mataidfa makubwa hayautaki huo mradi .Hawataki tujitosheleze kwa umeme kwa nini? Tuendelee kununua umeme kwenye mitambi ya makampuni yao ya kimataifa iliyoko nchini!!!

Sababu tukijitosheleza kwa umeme wetu mitambo yao kazi haina na dola haziendi kwao tena!!
Kwani unafikiri hajui ila kaamua kukurupuka tu.

Kwa kifupi Erick yupo sahihi ila mleta UZI mkurupukaji tu.
 
Back
Top Bottom