TANZIA ERICK ADAMU (Nezo B-Msanii wa Bongo Fleva) Auawa kisa kudaiwa pesa ya umeme (LUKU)

Nahisi kuna jambo lingine zaidi ya hilo! Polisi wafanye uchunguzi wa kina.
Isije kuwa Marehemu alipewa huduma nyingine na huyo mama harafu akashindwa kulipa!
 
Umoufia Kwenu wana JF,

Msanii wa Bongo fleva usiku wa kuamkia leo ameuwawa kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali huko sanawari Atown ,chanzo cha ugomvi ni mchango wa Buku ya umeme ambayo ilitakiwa achange kwenye nyumba aliyopanga,baada ya mvurugano ndipo mwanadada akatoka aliporudi akaja na kitu chenye ncha kali na kumchoma na kupelekea umauti.



Cc: Bushmamy
 
Kwanini hakulipa hela ya LUKU?
 
Haya mauaji na umwagaji damu bila sababu ya masingi ni laana kwa nchi yetu😭😭
 
rikiboy mi nina uhakika huyu alikuwa kijana wako luku ni kisingizio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…