TANZIA ERICK ADAMU (Nezo B-Msanii wa Bongo Fleva) Auawa kisa kudaiwa pesa ya umeme (LUKU)

TANZIA ERICK ADAMU (Nezo B-Msanii wa Bongo Fleva) Auawa kisa kudaiwa pesa ya umeme (LUKU)

Vifo asaivi ni kama timing,
Unagombana na mtu ukiona kashika siraha, tumia miguu yako vzr,

Sio zamani mtu katoa panga upo hapo unamuambia nikate sasa, nikateee....

Sikuhizi watu hawatanii, kitu ikitoka hairudi kavu, unageuzwa mishkaki, unapelekwa pluto fasta.

Usiwe na shaka kuhusu mbio zako katika kuokoa uhai, hutajiamini hio siku, nishawahi pita NOAH kama ipo Parking.
Dah [emoji23][emoji23]yaani wewe.
 
Mwanamke anayefahamika kwa jina la Blandinda Fredi Mkazi wa Kijiji cha Ilkrevi Kata ya Olturoto Wilayani Arumeru Mkoani Arusha anatuhumiwa kumuua Erick Adam ambaye ni Msanii wa Bongofleva na Mfanyakazi wa kiwanda cha mikate chanzo kikidaiwa kuwa ni kudaiana pesa ya LUKU (umeme).

Mashuhuda wa tukio hilo wanasema walishuhudia ugomvi ukiwa unaendela ambapo baadaye walimkuta Kijana huyo akiwa tayari ameshachomwa kisu.

Mwenyekiti wa Kijiji hicho Mollel amesema ni kweli Kijana huyo amefariki na wamempeleka katika chumba cha kuhifadhi maiti katika Hospitali ya Rufaaa ya Mkoa wa Arusha Mount Meru.
Watu wa Arusha ni makatili kama Wakenya
 
Back
Top Bottom