TANZIA ERICK ADAMU (Nezo B-Msanii wa Bongo Fleva) Auawa kisa kudaiwa pesa ya umeme (LUKU)

TANZIA ERICK ADAMU (Nezo B-Msanii wa Bongo Fleva) Auawa kisa kudaiwa pesa ya umeme (LUKU)

Tom Boy Msela wa Chuga, nitakupiga bisu la mbavu nikafungwe jera komamamae..!!
 
Wanawake wa Arusha ni makatili sana lakini wanawake kutoka meru(Wameru) ndo wakatili zaidi...... Unaambiwa
Ukimwona mmeru na nyoka,.... Unatakiwa umuue mmeru mwache nyoka aende.
Huyo Dada aliyemchoma jamaa kisu ni Mchaga anaishi sanawari.
 
Sio kweli ungesema Rorya,Mara,Musoma, Shinyanga,Mwanza,Geita,Ukerewe,Bukoba,Kagera,Songwe,Rukwa[emoji848].Angalau angalao ningekuelewa[emoji848].Anaye bisha tufuatilie takwimu za Jeshi la Polisi Tz kwa matukio kama hayo kwa ukanda huo,[emoji848]
Matukio ya wanawake kuua wanaume?
 
MALEZI NA MAKUZI
Kule kaskazini wameandaliwa na kulelewa kimabavu zaidi,
wamelelewa kama wanaume, jinsia ya kike ila tabia na haiba zote ni wanaume.
Ndio maana wahenga wanasema" ukitaka kuwa na ndoa ngumu sana.. asiee nenda kaoe kule"
Yesu na maria
Tutolee uoga na ushamba wako hapa

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom