TANZIA ERICK ADAMU (Nezo B-Msanii wa Bongo Fleva) Auawa kisa kudaiwa pesa ya umeme (LUKU)

TANZIA ERICK ADAMU (Nezo B-Msanii wa Bongo Fleva) Auawa kisa kudaiwa pesa ya umeme (LUKU)

Vifo asaivi ni kama timing,
Unagombana na mtu ukiona kashika siraha, tumia miguu yako vzr,

Sio zamani mtu katoa panga upo hapo unamuambia nikate sasa, nikateee....

Sikuhizi watu hawatanii, kitu ikitoka hairudi kwenye ala kavu, unageuzwa mishkaki, unapelekwa pluto fasta.

Ondoa shaka kuhusu mbio zako katika kuokoa uhai, hutajiamini mwenyewe hio siku,

Nishawahi pita NOAH kama ipo Parking, na ile ndio ilikua pona yangu serious, sijawahi rudi ile sehemu as long najua nilizingua mwenyewe.

Mimi mtu akitoa kisu au mguu wa kuku, nionekane tuu kunguru ila ndani ya sekunde 5 sitoonekana iwe ardhini au angani.
🤣🤣😂😂😂
 
Ni play Hero kwenye Uhai? Ili nife kishujaa??

Sina utani na maisha yangu, Nipo sijui drs la 6 ile Mtoto wa mamkubwa aliact kishujaa, nini kilifuata...?

Aliangukia mlangoni, huku Kazuia utumbo usimwagike kwa mkono..
Watu wa arusha mna mkumbuka Saimonii a.k.a Raider????

As long sio mwana riadha, Basi Mungu alinipaa hii speed kuokoa uhai wangu..
Nan alimchoma beto?
 
MALEZI NA MAKUZI
Kule kaskazini wameandaliwa na kulelewa kimabavu zaidi,
wamelelewa kama wanaume, jinsia ya kike ila tabia na haiba zote ni wanaume.
Ndio maana wahenga wanasema" ukitaka kuwa na ndoa ngumu sana.. asiee nenda kaoe kule"
Yesu na maria
 
Hii sio kisa luku, kuna jambo lipo nyuma yake, ila luku ni kipitio tyuuh.
RIP Nezo B
 
Wanawake wa Arusha ni makatili sana lakini wanawake kutoka meru(Wameru) ndo wakatili zaidi...... Unaambiwa
Ukimwona mmeru na nyoka,.... Unatakiwa umuue mmeru mwache nyoka aende.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanamke anayefahamika kwa jina la Blandinda Fredi Mkazi wa Kijiji cha Ilkrevi Kata ya Olturoto Wilayani Arumeru Mkoani Arusha anatuhumiwa kumuua Erick Adam ambaye ni Msanii wa Bongofleva na Mfanyakazi wa kiwanda cha mikate chanzo kikidaiwa kuwa ni kudaiana pesa ya LUKU (umeme).

Mashuhuda wa tukio hilo wanasema walishuhudia ugomvi ukiwa unaendela ambapo baadaye walimkuta Kijana huyo akiwa tayari ameshachomwa kisu.

Mwenyekiti wa Kijiji hicho Mollel amesema ni kweli Kijana huyo amefariki na wamempeleka katika chumba cha kuhifadhi maiti katika Hospitali ya Rufaaa ya Mkoa wa Arusha Mount Meru.
Shemeji zangu wa huku kaskazini wababe sana , R.I.P Erick
 
Mikoa ya watu wapumbavu/wachawi/majambazi/wauaji/wabinafsi/uhuni/wanafiki/majungu/tabia za ovyo/walawiti/washenizwashezi/mamwinyi/roho mbaya/ n.k,n.k:
-Mara
-Arusha
-Tanga
-Kilimanjaro
-Pwani
-Geita
-Lindi
-Mwanza
-Simiyu
-Kigoma
-Mbeya
-Zanzibar [Unguja na Pemba]
-Mtwara

Mikoa watu fresh:
-Manyara
-Kagera
-Tabora
-Iringa
-Njombe
-Morogoro
-Ruvuma
-Singida
-Dodoma
Utakua unaugua Kifaduro ya akili sio makosa yako, hio list A hadi Rais wako umem-include tabia mbaya kabisa
 
Huyo mwanaume alikuwa amelala au maana mpaka kisu kinachoma kwenye moyo alimstukiza ama 🙇🏼‍♀️
 
Huyo mwanaume alikuwa amelala au maana mpaka kisu kinachoma kwenye moyo alimstukiza ama 🙇🏼‍♀️
Kuna wanawake wanapiga karate, judo, taikwando, na vingine km kickbox
 
Utakua unaugua Kifaduro ya akili sio makosa yako, hio list A hadi Rais wako umem-include tabia mbaya kabisa
Braza kubwa mm sina upendeleo mi mwenyewe natoka list ya mikoa ya kidwanzi kwetu arumeru kuna mawehu
 
Back
Top Bottom