Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

Huyu mchange si alishaacha siasa anawashwa nn.lini ataunga juhudi

Huyo kijana kichwani hamna kitu na ukitaka kuthibitisha hilo kutana naye na ongea naye ana kwa ana utaona jinsi anavyotoa pumba, sielewi kwanini ZZK alimsaidia sana jamaa huyu katika uchaguzi wa 2015 wakati akijua ana kichwa hoho? Mwaka 2015 alifikiri Kibaha ni wajinga kama yeye na akagombea Ubunge lakini walimwonyesha kuwa hafai sasa tena uchaguzi umekaribia ameanza kunyatanyata taratibu sijui safari hii ataingia kwa chama gani na hatujui jimbo gani atalitumia kukamilisha ndoto zake za alinacha.
 
Wanasayansi kwenye siasa wanavurunda hawana uwezo wa kujibu hoja sababu hawakufanya morning debate mashuleni
You need to check your facts.
I was in tech school where we had only science subjects combinations.
Morning speech was compulsory as it is was for arts schools.
 
You need to check your facts.
I was in tech school where we had only science subjects combinations.
Morning speech was compulsory as it is was for arts schools.
Some schools debate is compulsory yet it's not so to others... Both of you are right... So it depends on how your school had scheduled its own programs and also how serious it was.
 
Who are you hadi umfundishe Kabendera?Je,wewe unaakili sana kiasi kwamba Kabendera hajielewi?Kwanini usiifundishe sisiem yako?we veeepeeee?Heeeeeeee!
 

Zitto kabwe anafahamu kuwa Kabendera pia katika wakati huo huo aliingiziwa kiasi cha Paundi za Uingereza 119,000,130.84. Sawa na zaidi ya shilingi milioni 305 za kitanzania.


.....halafu unataka tuamini haya uliyoyaandika?
Jamaa wanafoji wanasahau vitu vingi sana kwa kweli...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habibu Mchange something in the pocket
 
Jamaa wanafoji wanasahau vitu vingi sana kwa kweli...

Sent using Jamii Forums mobile app

Hawa ni wehu tu paundi laki million mia moja na ushee ndio million 305!!

Alafu huyu Mchange utasikia ni wale wa miwani meusi!!! My foot ikiwa ni kweli anatoka idara ile basi pendekezo la Yericko Nyerere lifanyiwe kazi
 
Mchange Habib, njaa imekuondolea ufahamu. Ulikuwa kijana mpendwa mabadiriko lakini Sasa wewe siyo riziki
Sent using Jamii Forums mobile app
 
JK ukimaanisha jakaya kikwete? Ndo unamsingizia amewahi kuwa na busara?

 
Habibu Mchange ni snitch aliyebobea na hivyo nampa ka benefit of doubt coz it takes a snitch to know a snitch ni hayo tu bandugu
 
Tulisema serikali ina mkono mrefu,haionei hovyohovyo kama wale majuha waliokuwa wanampambania bila kujua kinachoendelea,ona sasa walivyoumbuka ,huko twitter kina Maria Sarungi na Fatuma Karume wamelowa tepetepe
Sasa kma serikali haikosei kivp ushahidi walishindwa leta mahakamani ili jamaa ajitetee?? Kwa reasoning hii ndio maana TZ hatuendelei
 
Mashtaka ya mtu siyo kama sehemu nyeti ati! Mlikuwa mnapiga kelele kila siku hana makosa na kama ana makosa mbona hayawekwi wazi! Yamewekwa wazi sasa unahamisha tena goli!
Makosa au shutuma!! Mbona hawajathibitisha mahakamani, inaenda mwaka sasa uchunguzi hauishi!!

Asingekiri uchunguzi ungefika miaka 20!!
 
Hakuonewa?? Issue ni kwamba serikali imeshindwa kuthibitisha makosa ya jamaa kisheria imebakia kutafuta ushahidi inaelekea mwaka so wameamua kumkomoa tu hii sheria ya uhujumu uchumi kunyimwa dhamana inatumika vibaya sana.

Kma ushahidi hamna mtu aachiwe hta kwa kifungo cha nje akisubiri ushahidi ajitetee
 
Ushahidi wa nini wakati mtuhumiwa kakiri kosa?,wewe ni punguani mkubwa
Sasa kma serikali haikosei kivp ushahidi walishindwa leta mahakamani ili jamaa ajitetee?? Kwa reasoning hii ndio maana TZ hatuendelei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…