Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

Wale wazungu mabalozi wanaokujaga kuisikiliza kesi walikuwepo?
 
Sasa Anashitakiwa uhujumu uchumi. Yale yale hakuna dhamana. Au ndo wanataka alipe zile millions then awe huru ?Ila bora kulipa kuliko kukaa jela. Sasa akitoka nje atakuwa kajifunza. Maana zile hashtag free Kabendera sijui hata ziliishia wapi.

Eric ukitoka Baba tumia kalamu yako Intellingently huwezi pambana na watu wenye majeshi yote wewe ukiwa peke yako.
 
siri gani alizivujisha mkuu
 
Kwani yeye alikuwa TISS au kwenye kikao cha mawaziri au ulinzi na usakama? Siri hiyo kaipataje na kapewa na nani kama sio nyinyi wenyewe kama ni kweli?
 
Kuna mtu alikua anatembea na picha ya kabendera sijui alipotelea wapi mpaka mama wa kabendera anakufa alikua analaumu anakosa wakumtunza na kumuangalia kifedha alafu walio kua wanajiita wapenz wa kabendera kuliko kutafuta jins ya kumsaidia mama wa rafiki yao walikua ndio kwanza wanaenda uingereza na first class kumuongelea mpendwa wao kua anaonewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…