Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
JPM kamuua Mama kabendera,karma haiwezi kumuacha salama!Kijana amesababishia mateso mzazi wake
Kwa kufurahia pesa za mabeberu na wanasiasa wasioitakia mema Nchi yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JPM kamuua Mama kabendera,karma haiwezi kumuacha salama!Kijana amesababishia mateso mzazi wake
Kwa kufurahia pesa za mabeberu na wanasiasa wasioitakia mema Nchi yetu
Amehukumiwa kulipa kodi aliyokwepa!Hii adhabu ya kuomba msamaha iko kwenye sheria gani ?
Kama amekiri kosa kinachofuata si ni hukumu au ukikiri loss unafutiwa kosa na DPP.
Sent using Jamii Forums mobile app
mabeberu kuna mahala wamebinya inabidi utawala waacchie kidizain flanHapo ndipo tunaposhindwa kumuenzi Mwalimu Nyerere. Kumuondoa Snitch mmoja kwa afadhali ya Wengi ni jambo jema sana. Kama kweli wamekosa na ikathibitika watiwe korokoroni Maisha yao yote kuliko kuwaachia huru. Shetani hawezi kukengeuka na kuwa Malaika. Tujitafakari sana kabla ya ushabiki wa kuwaachia vibaraka wa aina hiyo.
Angeshtakiwa kwa huo usaliti kama ndivyo!!!!Shenzi kabisa,yaani kukosoa sera za uchumi za Jiwe ndio usaliti?shameNaam comrade usaliti kwa Nchi ni kitu kibaya sana
Kusema kuna dictator mpya kaibuka africa mashariki ni siri ya nchi?Wanasiasa wa Upinzani walimtumia kuvujisha siri za Nchi na wajumlishwe na Kabendera
Mkuu iko hivi maji yamewafika shingoni. Walikuwa hawana namna lazima wamuachie sasa kwa sababu ni wajinga wanataka kuwaaminisha serikali imemuonea huruma mdanganyike 2020 muwapigie kura.Too little too late mama amekufa
Tujifunze kuheshimu sheria
Wanasiasa waliomtumia wamemwacha peke yake
Wacheni unafiki hakuna kosa moja aliloonekana nalo mumeona aibu kwa sababu mabeberu washawashtukizia munawapiga watu risasi muna wateka watu na munawakamata waandishi wa habari kisa munakosolewa sasa mumeona mushashtukiziwa kama muna wabinya watu Uhuru wao wakuongea na munabinya Uhuru wa vyombo vya habari kwasababu hamutaki kukosolewa mtoto wa Nabii kapigwa block USA kwa kosa LA kutoa uhai wa watuTujifunze kuheshimu sheria
Wanasiasa waliomtumia wamemwacha peke yake
Nenda civilized country huwezi mtawala yuko bize kukomoa watu ni utoto eti unawanyoosha wakati uishi milele utapita wataendelea na maisha yao unabaki historiaTukia akili kutafakuri usitumie masaburi yako utaelewa mawanda mapana ya mchango wangu, otherwise no thanks
Kwa akili zako ndogo lazima uone hivi. Kalagabaho
Kwani unafikiri hizo gharama anazilipa leoleoAfadhali yupo huru! Japo amelipa gharama kubwa Sana.