Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

Kumi na nane za mabeberu,zimemnyoosha Jiwe kwelikweli,we unafikiri Jiwe angemuachia Kama si kabali za mabeberu.
 
Cherenganya,
Akili ni kuweza kuamini ya kuwa kuna watu wanaweza ingiza kilos of heroin nchini kwa maboti makubwa na kusafirisha mapunda wanaokatiza JKNA bila ya kuwa na connection za vyombo vya ulinzi.

Hapa tu nyumbani kuna asilimia kubwa ya maafisa wa usalama at senior level uzalendo unawashinda; leo ukampeleke mtu anaejua ukusanyaji wa taarifa kuanzia mtaani mpaka ofisini kwakwe; ndugu kuna nafasi za nchi ukishazishika you automatically become too precious kuachwa urande urande mwenyewe au watu wawe na access na wewe bila ya control za serikari.

Ni siku hizi tu ndio unaweza waona akina Mwamunyange mtaani enzi za kina Msuguri wakistaafu ukitaka kwenda kinyerezi alipokuwa anaishi ya miaka hiyo nyumba imefunikwa na migomba hiyo halafu kati kati ya shamba.

Kuna watu utaki wafikiwe kirahisi kabisa kutokana na mambo muhimu ya nchi wanayo yafahamu na hata kazi zao baada ya kustaafu serikari inazifanyia vetting.
 
wahujumu hawaioni Tz kwa jicho lako kamanda!
Wakati wewe unaona high dependence kwenye AID, wao wanaona plenty of wealth kwenye kila nyanja.
Na actually wanapenda nchi yenye utajiri kama Tz kuwa na watu wa disign yako, wasioona risk yeyote ya kuhujumiwa ili waendelee kukulevya na AIDs huku wakichota.
Unadhani hizo trillion 28 Magu alizokopa kazitoa wapi na bila ya hizo angefanya kitu gani wakati kodi yenyewe wanayo kusanya almost 70% ni mishahara ya watumishi wa serikari.

Get back to the real world hakuna mtu mwenye shida ya kuhujumu nchi maskini kama Tanzania.
 
Kilatha, Hata IGP hakutakiwa kwenda nje. Hata Lt. Gen. Shimbo hakutakiwa kwenda China. Yani serikali sijui inaona haina cha kupoteza, inalala tu ikijiaminisha wale ni rafiki zetu.
 
Nimemuona leo, dah zile nywele zake zimegeuka kuwa dreads bado ana chechemea. Ni heri kaachiwa huru kijana mwenzangu, angepata shavu akaishi ughaibuni tu, hapa hapafai tena kisaikolojia na hata kiusalama.
Washam-neutralize sio threat tena uyo, alipe faini na fidia. Serikali ni mti mkubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amekiri inamaanisha hakuna lile walikosea kumkamata.. kijana hatari huyu.. inabidi aendelee kufatiliwa mienendo yake asije akatuuza sisi wananchi wa nchi hii nzuri.
Hapa kazi tu
 
Back
Top Bottom