Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

Hata IGP hakutakiwa kwenda nje.
Hata Lt. Gen. Shimbo hakutakiwa kwenda China. Yani serikali sijui inaona haina cha kupoteza, inalala tu ikijiaminisha wale ni rafiki zetu.
Wao wanadhani ulinzi ni kuangaika kutafuta IP za watu wanaokosoa serikari mitandaoni.

Akili zao zinawatosha wao wenyewe.
 
Haki ya mtu uwa haipotei ila Mwenyezi Mungu atamlipa kwa CCM walichokifanya cha kusababisha ata mauti ya mama yake kabla ya muda kwa msongo wa mawazo juu ya mwanae
 
Kula tano mwanangu, kama sio wazungu kabendera bado angekuwa ndani.
Jiwe hajapenda ila kwakuwa anazitaka fedha zao,imebidi akubali!

Jiulize,kwanini mara ya kwanza kabendera hakujibiwa na DPP pamoja na wale waliokiri nchi nzima?Iweje waje wakubali sasa?Mabeberu wameshafanya yao,halafu kwanini nisiwapende hao mabeberu kwa kitu kama hichi walichofanya?
 
Kuishi mbali na nyumbani, kuna upweke wa ajabu sana. Ndio maana watu watafanya makosa watakimbia nje ya nchi ila siku moja watarudi tu kwao.
Nimemuona leo, dah zile nywele zake zimegeuka kuwa dreads bado ana chechemea. Ni heri kaachiwa huru kijana mwenzangu, angepata shavu akaishi ughaibuni tu, hapa hapafai tena kisaikolojia na hata kiusalama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilatha,
Na ndiko nchi hii inakoelekea kuwekewa vikwazo vya kiuchumi vibaya kuliko vile vya Iran na Zimbabwe! Hawa CCM hawajausoma mchezo wa corona huko China na laiti wangeujua basi wangetangaza mchakato wa time huru ya uchaguzi haraka na kuwafutia mashtaka viongozi wote wanaoikosoa ccm!
 
Ila kuna viongozi wana roho ngumu sana ..nadhani wenzetu wanajua wataishi milele
 
Vyamavingi,
Rudia kusoma kisha uje uchangie, unakimbizwa na nni? Mwandishi kasema kosa la utakatishaji pesa anatakiwa alipe milioni 100, wewe unasema limefutwa nani kakwambia? Muwe mnasoma na kuelewa sio kusoma yale unayoona yako moyoni mwako. Tanzania bado tupo nyuma sana.
 
Ukitaka kujua baadhi ya memba jf hamnazo soma koment zao,mahakama imetoa hukumu na imeeleza kosa la kabendera..ila watoa maoni wanasema anaonewa,.amebambikiwa
 
Back
Top Bottom