Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

Hamieni kwa Mabeberu sasa


Tumewachoka nyie wasaliti wa Nchi
Kusema kuna dictator mpya kaibuka africa mashariki ni siri ya nchi?
Kuandika kuna watu wanatekwa na kuuliwa na wasiojulikana hii nayo ni siri ya nchi.
Hivi ka shithole kama Tanzania kinaweza kuwa na siri gani ambazo nchi za mabeberu hawawezi kuzijua.
 
Hatimaye hadithi imefika mwisho. Kuna la kujifunza.
 
Vyamavingi, Sasa kwa nini wameondoa baadhi ya mashitaka kama kutakatisha fedha na kuongoza genge la kihalifu?

We unasoma toka kwenye chanzo kipi cha habari? Au ndio mihemko hadi unaamua nyeupe kuiita nyeusi.

Tafadhali bana mlaani sheitwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakatanta,
Baba yako je akihujumu utatamani naye ashughulikiwe au utatamani hiyo sheria isingekuwepo
 
Kilatha,
wahujumu hawaioni Tz kwa jicho lako kamanda! Wakati wewe unaona high dependence kwenye AID, wao wanaona plenty of wealth kwenye kila nyanja.

Na actually wanapenda nchi yenye utajiri kama Tanzania kuwa na watu wa disign yako, wasioona risk yeyote ya kuhujumiwa ili waendelee kukulevya na AIDs huku wakichota.
 
Back
Top Bottom