cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Sijakuelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nakumbukaWatu humu bado ni wachanga sana wa kung'amua mambo hatuwezi kuwalaumu bali ni kawaelimisha siku chache kabla ya kuachiwa huru tayari tulisema humu kuwa muda si mrefu Kabendera ataachiwa huru. Naamini hata mwezi haujapita huyu mtu kaachiwa huru..kwa haraka kilichofanyika ni kuwa ....."KIRI KOSA UACHIWE HURU...KATAA KOSA UENDELEE KUKAA NDANI" Mengine jiongeze na nadhani umenielewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sometimes kukiri kosa haina maana umefanya kosa. Unafanya hivyo kutokana na mazingira na hali halisi ilivyo. Ni sawa mwanaume kuminywa ... bro, nakuhakikishia utakubali anaekubinya anataka nini hata kama sio kwa hiari yako. Tema mate chini uache yanayoendelea yasikukute na tambua tu kila lenye mwanzo lina mwisho..
Naandika nafuta, ila we boya kweli! kila mtu na maisha yake.Atakua mpambanaji feki basi, kumbe ni mbinafsi, si alijigamba kuwa amejitolea na yupo tayari kwa lolote?
Mbona Rugemalira hajakiri kosa?
Hii kesi kiini macho aliyekiri na aliyesamehe wote hakuna msemakweli ni uhongo mtupu.Ukiachana na kukiri kosa, mm nachojiuliza hizo mil 100 kesh alizotoa amezipata wapi? Wakat mama yake alikuwa analalamika kukosa dawa kilichopelekea kifo chake?
Lingine ni mbona wazungu wengi sana walikuwa wanahudhuria kesi yake? Nini kilichoko nyuma ya pazia?
Sent using Jamii Forums mobile app