Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

Badala ya kuwalaumu wanaharakati... Ungetuliza akili hili suala ungeliona kwa mtazamo mzuri zaidi!
Kifupi tu ni kuwa ndani ya awamu ya 5 kinachotakiwa ni hela (mahera).

Lilianza kutumika lile genge la DAB kuteka na kushinikiza kupewa mahera (rejea vituko vya Manji, MO, n.k). Tathmini ilionesha kuwa mafanikio ni madogo sana ukilinganisha na idadi ya maadui!

Ndipo ikaonekana itumike loop hole ya kesi za ML na makubaliano maalum na ofisi ya DPP... (Kwa ushahidi zaidi soma Plea Agreement kati ya Kabendera na DPP ndo utajua namaanisha nini).

Mbinu ni zile zile... Unatekwa... Unaandaliwa mazingira ya ML. Yakikaa sawa unawekwa ndani huku wakisisitiza ukiri makosa, ulipe fidia na kuachwa huru! Wakishakula "RANSOM" yao wanakuachia huru!

Between now and 2021 matukio ya "watu-wasiojulikana (serikali) kuhusika na utekaji na kudai fidia bila kufuata au kusubiria mkondo wa utoaji haki yatakithiri sana!

Wengi watalipa ili kununua Uhuru wao! Na hata kama huna watakupa muda uendelee kutafuta uwapelekee "RANSOM" yao!

NB: Vyeo na umaarufu viliwasaidia sana kina Makamba Sr na Kinana. Walikuwa wahanga-tarajali (rejea kauli za makontena kwa mujibu wa HPolepole).

Tatizo ni kuwa Watanzania wengi hawana uwezo mkubwa wa kusoma alama za nyakati wenyewe hadi wasimuliwe simuliwe!
 
Wiwachu,
Mimi naamini alifanya hayo MAKOSA kwa sababu ameshalipa advansi ya milioni mia moja na ameahidi kumalizia milion 170 ndani ya miezi 6(siku 180 alipe milioni 170).

Kwangu Mimi ni sawa na kusema mwizi amekiri kuiba na ameonyesha alichoiba, sasa utasemaje amelazimishwa kukiri?

Nashindwa kuamini eti mwandishi wa Kawaida anaweza kuwa na 100mls kulipa kwa mkupuo mmoja
Huenda pia zile tetesi kwamba kwenye akaunti kulikutwa mamia ya mamilioni sambamba na ujenzi wa ghorofa aliokuwa anaendesha.

Tukio hili linanikumbusha kisa cha yule mama wa Uingereza aliyeishi na mumewe miaka 50 bila kujua kama ni jasusi mpaka mume alipofariki ndio akagundua kupitia nyaraka alizoacha.

Funzo kubwa hapa ni kwamba wabongo tupunguze kujifanya tunajua kila kitu mpaka yale anayofanya mtu sirini.

Kuna watu wamekomaa mitandaoni kumtetea KABENDERA wakati hawajui wala hawajawahi kukutana naye. Kibaya zaidi wanapinga hata alichokiri mwenyewe na kuanza kumlisha maneno eti amelazimishwa.
Ukitaka tukuamini kuwa amelazimika basi lete ushahidi kuwa kalazimishwa na uonye hizo 100'000'000/= kazipata wapi na ulete ushahidi kuonyesha alikozipata

Vinginevyo tukubaliane na taarifa rasmi zilizotolewa mahakamani, serikalini na Kabendera mwenyewe
 
Mkongwe Mzoefu,
Kwa hiyo yule aliyekuwa akilia mahakamani kuwa DPP aharakishe kufikiria ombi lake la kukiri kosa kila kesi inapoahirishwa alikuwa sio Kabendera bali feki?

Na yule wakili wake msomi akimtetea na kumpigania na kutoa taarifa za ?maendeleo ya kesi alikuwa anatoa maelekezo feki?

Kama ni kweli ningalimshauri akate rufaa lakini bahati mbaya rufaa imefungwa na wakili wake amekubali yaishe😆😆
 
Ole,
Tujifunze kuto tunza mayai yote kwenye kapu moja. Huyu jamaa alitunza mkwanja wa vyombo vyote hivyo kwenye accnt moja? Kwa taarifa yenu 173M ni 18% ya wenye nayo TRA Sasa hamjiulizi amepokea mkwanja kiasi gani?
 
Kwa uandishi huu, ni dhahiri hujawahi kutetea mtu wewe, sanasana uli side na mtesi wake tangu mwanzo wewe.
 
Mkongwe Mzoefu,
Ni jambo la busara kukaa kimya kuliko kuzungumzia jambo/mabo usiyo na uhakika nayo.

Mandela alikaa miaka 27 jela sembuse miezi saba tuu mkuu!
 
artch2311,
Wewe endelea kuamini hivyo, mimi naamini tofauti. Serekali ya awamu hii ina makando kando mengi sana.
 
Watu humu bado ni wachanga sana wa kung'amua mambo hatuwezi kuwalaumu bali ni kawaelimisha siku chache kabla ya kuachiwa huru tayari tulisema humu kuwa muda si mrefu Kabendera ataachiwa huru. Naamini hata mwezi haujapita huyu mtu kaachiwa huru..kwa haraka kilichofanyika ni kuwa ....."KIRI KOSA UACHIWE HURU...KATAA KOSA UENDELEE KUKAA NDANI" Mengine jiongeze na nadhani umenielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu humu bado ni wachanga sana wa kung'amua mambo hatuwezi kuwalaumu bali ni kawaelimisha siku chache kabla ya kuachiwa huru tayari tulisema humu kuwa muda si mrefu Kabendera ataachiwa huru. Naamini hata mwezi haujapita huyu mtu kaachiwa huru..kwa haraka kilichofanyika ni kuwa ....."KIRI KOSA UACHIWE HURU...KATAA KOSA UENDELEE KUKAA NDANI" Mengine jiongeze na nadhani umenielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nakumbuka
Kabendera aliomba kukiri hata kabla mama yake hajafariki, ndio maana alikuwa alimuombea asamehewe,
Na baadhi ya watu tulilaani kuendelea kushikiliwa hata baada ya kukiri
 
Extortion: Laws, Penalties and Sentencing
Extortion occurs when someone attempts to obtain money or property by threatening to commit violence, accuse the victim of a crime, or reveal private or damaging information about the victim.

  • Threats. Extortion is based upon some type of threat. The person making the threat must state an intention to commit an injury or harmful action against the victim. For example, under California’s law, a person can commit extortion by threatening to injure the victim or another person, accuse the victim of a crime or of some other disgraceful conduct, expose a secret, or report a person to immigration. (Cal. Pen. Code, § 519.) A person can make the threat verbally, in writing, or even through non-verbal gestures or other communications. In some states, merely making a threat is enough to qualify as a crime.
  • Intent. A person commits extortion when making a threat with the specific intention of forcing someone else to provide money, property, or something of value. However, intent is not based on the defendant's statements alone, but rather upon the circumstances and facts surrounding the threat. In other words, a prosecutor can prove the accused intended to deprive the victim of property without having to actually show what was going on in the defendant's head.
  • Fear. When someone makes a threat or attempts extortion, the threat itself must be able to cause fear in the victim. The fear can be based on almost anything, such as the fear of violence, economic loss, social stigma, deportation, or anything else that might cause the victim to act or hand over property. However, it isn't necessary that the victim actually experiences fear, but only that the accused intended to cause fear. Also, a person who experiences fear doesn't necessarily make the accused guilty of extortion, as the accused must have intended to cause the fear in an attempt to gain property.
  • Property. The type of property someone tries to obtain when using extortion encompasses almost anything that has value. However, the property doesn't need to be actual physical property, and can be property that does not have a dollar value. It is also not necessary for the accused to actually deprive the victim of property, as attempting to extort property is also a crime. Courts have held that the property involved in extortion can include such property as cash, tangible goods, liquor licenses, debts, and even agreements not to compete in business. Sexual acts are also typically covered, though some states have specific laws that govern sexual extortion.
 
Sometimes kukiri kosa haina maana umefanya kosa. Unafanya hivyo kutokana na mazingira na hali halisi ilivyo. Ni sawa mwanaume kuminywa ... bro, nakuhakikishia utakubali anaekubinya anataka nini hata kama sio kwa hiari yako. Tema mate chini uache yanayoendelea yasikukute na tambua tu kila lenye mwanzo lina mwisho..

Amekubali mdomoni.

Moyoni mwake ni yeye na Mungu wake.
 
Atakua mpambanaji feki basi, kumbe ni mbinafsi, si alijigamba kuwa amejitolea na yupo tayari kwa lolote?
Mbona Rugemalira hajakiri kosa?
Naandika nafuta, ila we boya kweli! kila mtu na maisha yake.
 
1582596799510.png
 
Ukiachana na kukiri kosa, mm nachojiuliza hizo mil 100 kesh alizotoa amezipata wapi? Wakat mama yake alikuwa analalamika kukosa dawa kilichopelekea kifo chake?

Lingine ni mbona wazungu wengi sana walikuwa wanahudhuria kesi yake? Nini kilichoko nyuma ya pazia?


Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kesi kiini macho aliyekiri na aliyesamehe wote hakuna msemakweli ni uhongo mtupu.
 
Back
Top Bottom