macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Kumbe alikuwa na makandokando mengi namna hii halafu akawa anatukana bila mpangilio!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameweka ili watu wajue ukweli...wengi Sasa wataelewa...huyo jamaa haluonewa...dola Ina mkono mrefu...Kuna watu maarufu walitaka kuleta uchochezi na usaliti...wakasambaza waraka wakidhani Hali ya kisisa itakuwa against head of state...watu wakaweka sauti zao zenye mwelekeo wa uhaini...ukawa ndio mwisho wa waraka...kilichoendelea baada ya hapo Sina haja ya kukiweka hapa...Sasa ndugu yetu mbona kama nawe unakengeuka kutokana na kutangaza kile Kabendera na nyinyi mlikubaliana sasa unautangazia umma ili iweje?
Huoni kama humtendei haki mteja wenu?
In God we Trust
Mashtaka ya mtu siyo kama sehemu nyeti ati! Mlikuwa mnapiga kelele kila siku hana makosa na kama ana makosa mbona hayawekwi wazi! Yamewekwa wazi sasa unahamisha tena goli!Sasa ndugu yetu mbona kama nawe unakengeuka kutokana na kutangaza kile Kabendera na nyinyi mlikubaliana sasa unautangazia umma ili iweje?
Huoni kama humtendei haki mteja wenu?
In God we Trust
Dahhh kazi ipoAcha kusema uongo kabendera hajakiri mumeona hamuna pakutokea mabeberu wamewashika rohoni hamuna chakujitetea kuhusu kabendera mukajiona mushawekewa vikwazo vingi na misaada isha zuiwa na wengine wamesha pigwa block kuhusu kuingia marekani kwa unyama munaowafanyia watanzania kuwabambikizia watu kesi kuwapiga risasi kuwateka na wengine kuwatupa baharini mabeberu ushahidi wote wanao kama huamini mwambie makonda akaombe viza ende marekani kama USA hajaweka mambo hazarani mukazalilika
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajichosha bure kuelimisha hawa wahamisha magoli. Alipokamatwa wao ndoyo walikuwa wa kwanza kusema mashtaka yake yawekwe wazi.Ameweka ili watu wajue ukweli...wengi Sasa wataelewa...huyo jamaa haluonewa...dola Ina mkono mrefu...Kuna watu maarufu walitaka kuleta uchochezi na usaliti...wakasambaza waraka wakidhani Hali ya kisisa itakuwa against head of state...watu wakaweka sauti zao zenye mwelekeo wa uhaini...ukawa ndio mwisho wa waraka...kilichoendelea baada ya hapo Sina haja ya kukiweka hapa...
Sikiliza ww hivi niomberadhi kwa kosa gani mm nitamuomba radhi mungu wangu alieniumba ndie pale nitakapo mkosea lkn kwa kupigwa na kuliwa sote tutakufa wachakunitisha kama VP njoo unichukuwe tuuUkiitwa mbele ya vyombo vya sheria usije ukaanza kuomba radhi
Nani wa kuthibitisha kama hayo ni kweli?Mashtaka ya mtu siyo kama sehemu nyeti ati! Mlikuwa mnapiga kelele kila siku hana makosa na kama ana makosa mbona hayawekwi wazi! Yamewekwa wazi sasa unahamisha tena goli!