Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

Acha kusema uongo Kabendera hajakiri mmeona hamna pakutokea mabeberu wamewashika rohoni hamna cha kujitetea kuhusu Kabendera mkajiona mshawekewa vikwazo vingi na misaada ishazuiwa na wengine wameshapigwa block kuhusu kuingia Marekani kwa unyama mnaowafanyia watanzania kuwabambikizia watu kesi kuwapiga risasi kuwateka na wengine kuwatupa baharini mabeberu ushahidi wote wanao kama huamini mwambie makonda akaombe viza aende Marekani kama USA hajaweka mambo hazarani
 
Sasa ndugu yetu mbona kama nawe unakengeuka kutokana na kutangaza kile Kabendera na nyinyi mlikubaliana sasa unautangazia umma ili iweje?

Huoni kama humtendei haki mteja wenu?

In God we Trust
Ameweka ili watu wajue ukweli...wengi Sasa wataelewa...huyo jamaa haluonewa...dola Ina mkono mrefu...Kuna watu maarufu walitaka kuleta uchochezi na usaliti...wakasambaza waraka wakidhani Hali ya kisisa itakuwa against head of state...watu wakaweka sauti zao zenye mwelekeo wa uhaini...ukawa ndio mwisho wa waraka...kilichoendelea baada ya hapo Sina haja ya kukiweka hapa...
 
Kwa jinsi nilivyo ona "P.O. Box 7439" na kuhusishwa na kampuni yenye miamala hapo juu, naanza kumuelewa Mzee JK alivyosema "sasa bora tusomeshe wanasayansi au wahandisi zaidi kuliko watu wa arts wanaokuja kuwa wanasheria.
Wanasheria wakikosa kazi wanajiingiza kwenye siasa na nchi haitawaliki."

Kwa busara zake na washauri wake wakaanzisha vipaumbele kwenye mikopo ya elimu ya juu.
Wanasayansi wakapewa hadi 100% na watu wa sayansi ya jamii, lugha na sanaa wakapata kiwango kidogo.

Sikumuelewa kwa ubaguzi wake, kumbe alikuwa na mengi ana yaona kwenye makabrasha yake ambayo mengine kamuachia mrithi wake,nae analalamika anakesha akiyasoma.
 
Sasa ndugu yetu mbona kama nawe unakengeuka kutokana na kutangaza kile Kabendera na nyinyi mlikubaliana sasa unautangazia umma ili iweje?

Huoni kama humtendei haki mteja wenu?

In God we Trust
Mashtaka ya mtu siyo kama sehemu nyeti ati! Mlikuwa mnapiga kelele kila siku hana makosa na kama ana makosa mbona hayawekwi wazi! Yamewekwa wazi sasa unahamisha tena goli!
 
Acha kusema uongo kabendera hajakiri mumeona hamuna pakutokea mabeberu wamewashika rohoni hamuna chakujitetea kuhusu kabendera mukajiona mushawekewa vikwazo vingi na misaada isha zuiwa na wengine wamesha pigwa block kuhusu kuingia marekani kwa unyama munaowafanyia watanzania kuwabambikizia watu kesi kuwapiga risasi kuwateka na wengine kuwatupa baharini mabeberu ushahidi wote wanao kama huamini mwambie makonda akaombe viza ende marekani kama USA hajaweka mambo hazarani mukazalilika

Sent using Jamii Forums mobile app
Dahhh kazi ipo
 
Ameweka ili watu wajue ukweli...wengi Sasa wataelewa...huyo jamaa haluonewa...dola Ina mkono mrefu...Kuna watu maarufu walitaka kuleta uchochezi na usaliti...wakasambaza waraka wakidhani Hali ya kisisa itakuwa against head of state...watu wakaweka sauti zao zenye mwelekeo wa uhaini...ukawa ndio mwisho wa waraka...kilichoendelea baada ya hapo Sina haja ya kukiweka hapa...
Unajichosha bure kuelimisha hawa wahamisha magoli. Alipokamatwa wao ndoyo walikuwa wa kwanza kusema mashtaka yake yawekwe wazi.
 
Aisee mkuu mleta mada mahela yote hayo Kabendera alikuwa anawafanyia kazi ipi nyeti hao mabeberu?

Hii kuanika hadhalani madudu ya mkulu ndo alipwe mihela yote hiyo kweli?
So hizo akaunti zimeshakuwa freezed mpaka muda huu au still operating?
Why pesa ipitie crdb benki tu? Policies za money laundry kwao zikoje?
 
Mhh Kabendera,bora kunyamaza kimya.Nijuavyo serikali sio kwamba mambo yamekwisha,wala usimwamini Mwami Zitto.ex CAG ni mfano hai.Ni kama unachochea moto.Mark my words,Zitto might accelerate your downfall.
 
Mashtaka ya mtu siyo kama sehemu nyeti ati! Mlikuwa mnapiga kelele kila siku hana makosa na kama ana makosa mbona hayawekwi wazi! Yamewekwa wazi sasa unahamisha tena goli!
Nani wa kuthibitisha kama hayo ni kweli?
 
Ujinga mzigo.
1. Kwanini mke wa Kabendera hakuwekwa mahabusu kwa makosa aliyofanya na Erick Kabendera?
2. Yaani accounts ifunguliwe 2016 halafu imeanza kuwekewa fedha 2015!! Hahaha
3. Kwani BRELLA hawakagui ofisi kabla ya cheti kutolewa?
4. Huu uzi ni hewa
 
Mheshimiwa Zitto kwa heshima na taadhima njoo uangalie bandiko hili hapa na kisha utie neno hapa!
 
Back
Top Bottom