Erick Kabendera atoa maoni yake kwa Tume ya Haki Jinai, Adai Mahakimu wa Mahakama wanaiogopa ofisi ya DPP

Ni kweli kabisa Mahakama haipo huru

Mhimili huu muhimu wa dola unapaswa sasa kuanza kuacha kutumiwa na ufanye kazi kwa haki ndiyo utakuwa mhimili huru unaosimamia sheria na katiba bila kupokea amri toka mhimili wa executive (wanasiasa / serikali)

Jaji Mkuu mstaafu jaji Barnabas A . Samatta ameandika kitabu kuhusu uhuru wa mahakama inatakiwa raia wote ikiwemo jaji mkuu aliyepo ofisini, majaji, mahakimu kukisoma na kuwa rejea kuhusu umuhimu wa mhimili wa Mahakama katika nchi hususan yetu ya Tanzania

5 July 2018

Umuhimu wa utawala wa sheria - Jaji Barnabas A. Samatta

Sheria zinazopelekwa mbele ya bunge (bills) lazima kwanza zichunguzwe kwanza kama zinakiuka katiba, sheria na haki anasisitiza jaji mstaafu B.A Samatta na kusisitiza kila mmoja ktk ngazi za maamuzi wasisitize haki ikiwemo maDC, maRC n.k maana nikusikiliza radio au kutazama TV amri wanazotoa watendaji zingine zina kukakasi mkubwa anamalizia jaji mstaafu B. A Samatta almaarufu "B.A.S" anavyojulikana na washikaji wenzie wa karibu.
 
Mkuu wangu nafahamu hauijui sheria kwa ulichoandika hapa. Naomba utafute maana ya haya maneno "DOUBLE JEOPARDY"

Kabendera? Yule Mhutu anayetuhumuwa kuua Watusi milioni 3 genocide? Au ukoo huo huo kakimbilia kwetu? Si alikuwa anasafisha hela za kigeni halipi kodi zinatumika kuwalipa wapinzani? Si zilianikwa na CRDB account zake na mkewe?
 
Halafu ikawaje ? Msafirisha hela mama yake afe kwa njaa !
 
Tatizo upeo wako ni mdogo sana, na dhamira yako imekufa.

DPP huondoa kesi pale anapokuwa amejiridhisha hana ushahidi wa kumtia mtuhumiwa hatiani au anapoona hakuna maslahi yoyote hata kama kesi hiyo ikiendelea.
Kesi ya sabaya yenyewe ina maslahi gani kwa taifa ?
 
Acha utaahira wewe dada!

Samia wakati huo mchoro unachorwa alikuwa wapi na alikuwa na cheo gani?

Si alikuwa makamu rais?

Asali imewapofusha mmekuwa mazuzu kabisa!

Subirini 2025 ccm iwapelekee moto ndio akili zitawakaa sawa
Yule jiwe alishaurika???
 
Mwendazake aliharibu misingi ya taifa hili kabisa. Angeendelea miaka yote mitano iliyobaki,taifa lingekufa kifo cha mende.

Mungu Hadhihakiwi
 
Halafu ikawaje ? Msafirisha hela mama yake afe kwa njaa !
Kwani mama yake anakula hela, what are you saying? Inahisikaje hii tena?Hujaninibu, kuna Kabendera kule Rwanda ni Mhutu aliua maelfu kwa matangazo redioni, je ni Dad wake like father like son? Hizo account za CRDB alizipataje?
 
Jinai haifi hilo wasilisahau!!
 
Kwani mama yake anakula hela, what are you saying? Inahisikaje hii tena?Hujaninibu, kuna Kabendera kule Rwanda ni Mhutu aliua maelfu kwa matangazo redioni, je ni Dad wake like father like son? Hizo account za CRDB alizipataje?
Kumbe uko Rwanda ? kwaheri
 
Hata akimaliza hiyo kesi, bado inaweza kufunguliwa tena maana ni kesi ya kutungwa, na mahakama imekubali kutumikia siasa chafu. Umeongea kama kuna sheria zinafuatwa kwa hivyo na hiyo mahakama.
 
Hivi lile li Jaji linaitwaje la Mbowe? Yako mawili, moja lilianza na kutokomea ghafla na lingine likamalizia. Linaitwaje vile

..tafuta video ya ushuhuda wa Mdude Nyagali.

..kuna Jaji aliyehusika na makesi ya kubambika ndugu yake alitekwa na task force na hajulikani aliko.

..Jaji kashindwa kutoa msaada. Ndugu wanahangaika kila mahali mpaka wamemuomba Mdude awasaidie kupaza sauti.
 
Yani wewe ulikuwa unajua kuwa hiyo kesi ya Mbowe ni ya Mchongo tu ila Rais Samia hakuwa akijua na akawa anadanganywa hadi baadaye ndio akaja kujua ukweli? Ni dharau kwa Rais Samia hicho ulichokieleza au pengine unajaribu tu kumtetea.

Labda kama lengo lako ni ubishani usio na tija kama kawaida yako. Siku zote huwa mnasema urais ni taasisi, na chochote rais akifanya hasa kukosea, huwa mnasema amepotoshwa na washauri wake. Au kwenye hili la Mbowe hakuwa na washauri, nao wakatumia nafasi hiyo kumpotosha?
 
Acha utaahira wewe dada!

Samia wakati huo mchoro unachorwa alikuwa wapi na alikuwa na cheo gani?

Si alikuwa makamu rais?

Asali imewapofusha mmekuwa mazuzu kabisa!

Subirini 2025 ccm iwapelekee moto ndio akili zitawakaa sawa

Kwa jinsi dhalimu alivyokuwa anaamini mfumo dume, huyo Samia alikuwa ni picha tu. Isitoshe huyo mama Samia sio muumini wa tabia za kidhalimu, ni dhahiri asingeweza kushirikishwa hayo mambo ya kishamba ya dhalimu.
 
Huku kupotoshwa na washauri kipindi cha Magufuli haikuwa hivyo, Magufuli abeba lawama zote yeye na si washauri.
 
Huku kupotoshwa na washauri kipindi cha Magufuli haikuwa hivyo, Magufuli abeba lawama zote yeye na si washauri.

Wapi ww, si ilikuwa akichemsha jambo simlikuwa mnasema ana washauri wabaya? Hata hivyo dhalimu alikuwa anajifanya mjuaji sana, hadi akawa yeye ndio anawashauri washauri wake.
 
Labda kama mtamfufua shetani wenu wa chatto ndo kesi inaweza kuendelezwa , nje na hapo haitakuja kutokea Tena Rais kichaa kama magufuri. ..
Do mnajitowaga ufahamu kweli mbowe amefunguliwa kesi na samia halafu lawama mnamtupia marehem khaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…