econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Yani wewe ulikuwa unajua kuwa hiyo kesi ya Mbowe ni ya Mchongo tu ila Rais Samia hakuwa akijua na akawa anadanganywa hadi baadaye ndio akaja kujua ukweli? Ni dharau kwa Rais Samia hicho ulichokieleza au pengine unajaribu tu kumtetea.
Kakuta kesi ilishafunguliwa. Mbowe aliunganishwa baadae. Kiukweli ile kesi haikuwa na maana yeyote.