Yani wewe ulikuwa unajua kuwa hiyo kesi ya Mbowe ni ya Mchongo tu ila Rais Samia hakuwa akijua na akawa anadanganywa hadi baadaye ndio akaja kujua ukweli? Ni dharau kwa Rais Samia hicho ulichokieleza au pengine unajaribu tu kumtetea.
Ndio nasema kuwa umemdharau Rais Samia, kwa sababu kama kesi ya Mbowe ilikuwa ipo wazi kabisa kuwa ni ya mchongo ilikuwaje yeye ashindwe kuona hilo mpaka aje kuambiwa na akina Kinana?
Mwenzie Lema alimuomba Kikwete amuombee kwa Rais Samia ili aweze kurudi nchini.
No no no no, hiyo ya magogo ilikuwa ni ya baadaye wangefanya makamanda kutoka Mara huku makamanda wa Dar es Salaam wangerubuni vibaka kuchoma sheli zote za Temeke na Mwembechai na GoGo Hotel. Hii ingeleta taharuki nchini ili watu wadai tumehuru na maridhiano. Cha kwanza kabisa ilikuwa ni personal vendeta ya Mwenyekiti: wale makomandoo watatu walikuwa specifically wamuue ole Sabaya. Kilichotokea ni kwamba ili kupata nishai, wale makomandoo kwanza walipota Rau Madukani kujichana mbege na wahudumu wa pale. Si ndipo wakakamatwa na Kamanda Kingai na AfandeJumanne? Ule ushahidi wa mtu wa tigopesa na mnaso wa Afande Urio maongezi yake na "Homeboy" mbowe ilikuwa foolproof, kilichosevu ni huruma ya MamaKwamba Mbowe alikata magogo misitu ya huko Morogoro na kuyasombelea magogo na kuyapanga barabarani ili mabasi na magari mengine yasipite. Hahahahaa aisee hatareee sana.
Majaji wa UPE, shyster Judges!Yale majaji majinga kweli, yanafanya maamuzi kwa kumuogopa DPP. Unasema Kuna kesi ya kujibu wakati, Hakuna aliyedhuriwa na ugaidi Wala ushahidi wa njama za kutenda ugaidi. Majaji hopeless.
Ni heri kukaa kimya kuepusha ukoo wako na aibu ndogo ndogoMbowe angekomaa amalize kesi yake mahakamani ili awe huru.
Hii ya DPP kujiondoa kwamba hana nia, DPP mwingine akiingia na rais mwingine Mbowe anafunguliwa mashataka upya.
Mbowe ametumia the easy way out ila kesi yake ya ugaidi iko pale pale.
Mlio karibu Mbowe mashaurini apambane hadi mahakama impe clearance otherwise DPP mwingine ana Rais mwingine wakiingia na wakataka kufufua kesi mbowe atarudishwa rumande kwa ugaidi.
Shida yako ni shule ndogo. Sidhani hata kama ulimaliza darasa la saba.
Anaepeleka kesi mahakamani ni DPP, iwapo DPP atasema hana nia ya kuendelea na kesi mahakamani inaifuta ila haina maana kwamba DPP ameifuta mashtaka yako, ama hatakushitaki tena na kesi hiyo hiyo siku za mbeleni.
Ndio nasema kuwa umemdharau Rais Samia, kwa sababu kama kesi ya Mbowe ilikuwa ipo wazi kabisa kuwa ni ya mchongo ilikuwaje yeye ashindwe kuona hilo mpaka aje kuambiwa na akina Kinana?
Nimekwambia wewe shida ni elimu ndogo. DPP anaweza kuondoa kesi kama akiona ushahidi alionao hautoshi, kisha akakurudisha mahakamani hapo hapo kwa kesi hiyo hiyo na ushahidi mpya.
Ama akaiondoa mahakamani kwa sababu zake tu binafsi hata kama ushahidi upo wa kutosha. Hii haimzuii akijisikia tena kukurudisha mahakamani kwa mashtaka hayo hayo.
Ama akaiondoa mahakamani kwa kukuonya usirudie hilo kosa kama mashehe wa uamsho. Kwamba ukirudia kufanya makosa kama hayo ama yanayofanana na hayo atakurusisha mahakamani, hii inaitwa Nolle Prosequi.
Jitahidi kujielimisha zaidi ili uwe na uwezo wa kujadiliana ukiwa na uelewa wa kutosha.
Acha utaahira wewe dada!
Samia wakati huo mchoro unachorwa alikuwa wapi na alikuwa na cheo gani?
Si alikuwa makamu rais?
Asali imewapofusha mmekuwa mazuzu kabisa!
Subirini 2025 ccm iwapelekee moto ndio akili zitawakaa sawa
huna akili.Mbowe angekomaa amalize kesi yake mahakamani ili awe huru.
Hii ya DPP kujiondoa kwamba hana nia, DPP mwingine akiingia na rais mwingine Mbowe anafunguliwa mashataka upya.
Mbowe ametumia the easy way out ila kesi yake ya ugaidi iko pale pale.
Mlio karibu Mbowe mashaurini apambane hadi mahakama impe clearance otherwise DPP mwingine ana Rais mwingine wakiingia na wakataka kufufua kesi mbowe atarudishwa rumande kwa ugaidi.
Kabendera? Yule Mhutu anayetuhumuwa kuua Watusi milioni 3 genocide? Au ukoo huo huo kakimbilia kwetu? Si alikuwa anasafisha hela za kigeni halipi kodi zinatumika kuwalipa wapinzani? Si zilianikwa na CRDB account zake na mkewe?
Kesi ya sabaya yenyewe ina maslahi gani kwa taifa ?
Una uwezo mdogo sana kichwaniMbowe ameikeza sana kwa hawa mazezeta wake hata alipoanguka akiwa amelewa chakari bado kuna chawa walimtetea kuwa amevamiwa
Chadema wanajua kweli mamboCdm huwa ni watu wajuaji na wenye dharau balaa kumbe ni amna kitu kichwani
Kwi Kwi KwiNo no no no, hiyo ya magogo ilikuwa ni ya baadaye wangefanya makamanda kutoka Mara huku makamanda wa Dar es Salaam wangerubuni vibaka kuchoma sheli zote za Temeke na Mwembechai na GoGo Hotel. Hii ingeleta taharuki nchini ili watu wadai tumehuru na maridhiano. Cha kwanza kabisa ilikuwa ni personal vendeta ya Mwenyekiti: wale makomandoo watatu walikuwa specifically wamuue ole Sabaya. Kilichotokea ni kwamba ili kupata nishai, wale makomandoo kwanza walipota Rau Madukani kujichana mbege na wahudumu wa pale. Si ndipo wakakamatwa na Kamanda Kingai na AfandeJumanne? Ule ushahidi wa mtu wa tigopesa na mnaso wa Afande Urio maongezi yake na "Homeboy" mbowe ilikuwa foolproof, kilichosevu ni huruma ya Mama
Jinai haifi hilo wasilisahau!!
Huku kupotoshwa na washauri kipindi cha Magufuli haikuwa hivyo, Magufuli abeba lawama zote yeye na si washauri.
Shetani mama yako na baba yako!