Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Akiitwa akatoe ushahidi anao?
Hakunq siri ya watu wawili hapa Dunia
Kumuita hawawezi maana hata nao wanaujua ukweli na walisha jeruhiwa hata mama kizimkazi amewahi kuzinguliwa na aliwahi kukiri katika moja ya speech yake kwamba Kuna muda ilikuwa ni mtihani kufanya kazi na Magu
 
Never say Never Katika hii dunia.

Usimuamini mtu hawezi kufanya kitu, siku ukipata ushahidi kua kafanya utaweka wapi sura yako?
 
Wewe ungeweza?
 
Ukiondoa utumishi ulio tukukuka, hili andiko lako lingefunga mjadala
 
Je familia ya JPM ikiamua imfungulie kesi huyo Kabendera anaweza kudhibitisha alichokiandika kwamba aliuliwa na Rais?
 
Lengo sio Magufuli bali ni Tanzania.


Kwa ujumla wake Tanzania inakuwa sana kiuchumi.

Sasa hilo ni tishio kwa nchi mahasimu.

Moja ya njia wanayotumia ni kuharibu sifa ya nchi.

Na Magufuli ni kama sababu tu.

Ila maadui wa nchi wako busy kuhakikisha hatuwapiti kiuchumi kuja kuwa super power.
 
Toa ujinga maadui wa nchi wanatafuta nini Tanzania cha ajabu hasa. Ambacho huko kwingine hakipo.

Mtu ametoa tuhuma basi mfuate sheria mshitakini ili atoe ushahidi tofauti na hapo yaliyosemwa ni kweli.
 
Toa ujinga maadui wa nchi wanatafuta nini Tanzania cha ajabu hasa. Ambacho huko kwingine hakipo.

Mtu ametoa tuhuma basi mfuate sheria mshitakini ili atoe ushahidi tofauti na hapo yaliyosemwa ni kweli.
Unaamini kisa chuki zako ama.?
 
Unaamini kisa chuki zako ama.?
Sio swala la chuki hapo tatizo mtu akikosoa mamlaka hii nchi basi uwa anapachikwa jina la kibaraka..

Hapo huyo mwandishi amemtuhumu aliyekuwa rais wa nchi yetu na mimi sioni tatizo maana alikuwa binadamu na inawezekana alikuwa na mapungufu pia ambayo baadhi ya watu waliyaona maan walipata madhira mbalimbali.

Sasa kama serikali inataka kumtetea mwenda zake basi utaratibu ufuatwe sio kuanza kumwita mtu msaliti sijui katumwa na maadui wa nchi..

Maadui gani hao ilhali nchi yenyewe nusu ya budget ni misaada kutoka nje huo uadui ni upi hasa sisi km tuta battle basi kaa ukijua ni ku battle na nchi jirani tu hapo kenya , uganda rwanda hao ndio saizi zetu tofauti na hapo ni kujidharirisha.

Nchi yetu ni changa mno na tunajitafuta karibu kwenye kila nyanja.
Alafu muda mwingine tutue common sense.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…