Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Hao “opposition and government sources” alioongea nao watamruka futi 500Wamuite?
Vipi kama wakamuita naye akatoa uthibitisho?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao “opposition and government sources” alioongea nao watamruka futi 500Wamuite?
Vipi kama wakamuita naye akatoa uthibitisho?
Hakunq siri ya watu wawili hapa DuniaAkiitwa akatoe ushahidi anao?
Kumuita hawawezi maana hata nao wanaujua ukweli na walisha jeruhiwa hata mama kizimkazi amewahi kuzinguliwa na aliwahi kukiri katika moja ya speech yake kwamba Kuna muda ilikuwa ni mtihani kufanya kazi na MaguBoth opposition and government sources I have spoken to…
Hii ni serious allegation. Hivi Kabendera yupo Tanzania au alishahamia nje ya Nchi? Urais ni taasisi na wanaweza kumuita athibitishe hiki alichoandika
Ngoja tununue hicho kitabu tukisome neno kwa neno
Never say Never Katika hii dunia.Upumbavu mwingi sana ili auze kitabu chake.
President hawezi kupiga mtu risasi live pale Ikulu.
Hamna hiyo kitu, na huyo kijana aliyepotezwa alikua mtu mdogo sana kufikia hatua hiyo.
Alikua na tamaa sana huko kwenye chama chao wanajua walichofanya.
Msimsingizie marehemu
Wewe ungeweza?Nina swali:
Bw. Kabendera anasema vyanzo vyake kutokea upinzani 'vilithibitisha' namna kijana alivyopoteza maisha. Je, kwa nini hawa upinzani walioufahamu ukweli hawakupaza sauti ili haki itendeke juu ya roho ya kijana yule?
Walijua kisha wakakaa kimya, kwa nini?
Ukiondoa utumishi ulio tukukuka, hili andiko lako lingefunga mjadalaInawezekana ni moja ya mbinu kati ya nyingi kumchafua hayati JPM na kufifisha legacy yake; kwenye malumbano kusifiana hakupo, kuchafuana ndio mtindo.
Kibaya zaidi, hayati JPM alishanyamaza; hawezi tena kujitetea kwa lolote litakalosemwa dhidi yake na wapinzani wake.
Bado utumishi uliotkuka wa hayati JPM utaendelea kukumbukwa kwa miaka mingi ijayo tangu akiwa Mbunge, Naibu Waziri, Waziri hatimae Rais.
Kipindi cha chini ya miaka kumi JPM kuwa Rais, alifanikiwa kusukuma mambo mengi makubwa ambayo kwa awamu zilizomtangulia hayakuwa kufanyika; yanajulikana, sina haja ya kuyataja.
Najua JPM alikuwa mwanadamu kama mimi na wewe, alikuwa na mapungufu yake kama ambavyo watangulizi wake walikuwepo nayo na watakaofuata pia watakuwa nayo.
Msameheni pale alipowakosea, kama mimi na wewe tunavyosamehewa na wenzetu tuliowakosea sana; tusimhukumu, nasi tusije tukahukumiwa.
Mungu ampe pumziko la amani hayati JPM; Amin.
Vichwa vya kuku hivi.Lile kundi alilolianzisha Jiwe bado lipo, SASHA analiendeleza.
Je familia ya JPM ikiamua imfungulie kesi huyo Kabendera anaweza kudhibitisha alichokiandika kwamba aliuliwa na Rais?Nanukuu......
Kitabu cha “In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist” kilichoandikwa na Erick Kabendera, @kabsjourno kimeanza kuuzwa leo. Mwandishi anaeleza kuhusu kutekwa na kuuwawa kwa Ben Rabiu Focas Saanane, December 2016 alipigwa risasi na mwili wake kutupwa mto Rufiji.
View attachment 3189981View attachment 3189980
Familia yenyewe imepumua baada ya mzee kwenda zake.Je familia ya JPM ikiamua imfungulie kesi huyo Kabendera anaweza kudhibitisha alichokiandika kwamba aliuliwa na Rais?
Kivipi?Familia yenyewe imepumua baada ya mzee kwenda zake.
OJe familia ya JPM ikiamua imfungulie kesi huyo Kabendera anaweza kudhibitisha alichokiandika kwamba aliuliwa na Rais?
Toa ujinga maadui wa nchi wanatafuta nini Tanzania cha ajabu hasa. Ambacho huko kwingine hakipo.Lengo sio Magufuli bali ni Tanzania.
Kwa ujumla wake Tanzania inakuwa sana kiuchumi.
Sasa hilo ni tishio kwa nchi mahasimu.
Moja ya njia wanayotumia ni kuharibu sifa ya nchi.
Na Magufuli ni kama sababu tu.
Ila maadui wa nchi wako busy kuhakikisha hatuwapiti kiuchumi kuja kuwa super power.
Unaamini kisa chuki zako ama.?Toa ujinga maadui wa nchi wanatafuta nini Tanzania cha ajabu hasa. Ambacho huko kwingine hakipo.
Mtu ametoa tuhuma basi mfuate sheria mshitakini ili atoe ushahidi tofauti na hapo yaliyosemwa ni kweli.
Mimi ni masai sio msukuma.Wasukuma hamuamini macho yenu🤣🤣
Sio swala la chuki hapo tatizo mtu akikosoa mamlaka hii nchi basi uwa anapachikwa jina la kibaraka..Unaamini kisa chuki zako ama.?