Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Muulize mama janet
 
Walienda kushughulika naye kivipi?
 
Hii ya kusema kwamba alimuua mwenyewe, ilishawahi kusemwa hapa JF(sina kumbukumbu kama ni uzi au comment tuu).

Hatujui ukweli zaidi ya Ben mwenyewe lakini ni dhahiri Ben Saanane alidhurumiwa uhai wake na watu waovu.
 
Alaaniwe yule gaidi wa chato. Aendelee kuoza na kuungua moto wa milele, Dhambi ya kuua huwa inapita mpaka kizazi cha nne kama ilivyomuadhibu mfalme ahabu na ukoo wake.

Raisi wa hovyo kuwai kutokea toka kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu.
 
Nadhanilikiwa kesixya kwanza ya uhujumu uchumi...alihukukiwa miaka 30 jela na juzi Mungu ametoa hukumu yake...jamaa amefariki...
Jamaa gani huyu?
Najaribu kuvuta folders lkn process inastop
 
Alaaniwe yule gaidi wa chato. Aendelee kuoza na kuungua moto wa milele, Dhambi ya kuua huwa inapita mpaka kizazi cha nne kama ilivyomuadhibu mfalme ahabu na ukoo wake.

Raisi wa hovyo kuwai kutokea toka kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu.
Hapo sijaona laana ya kumkuta shujaa wetu
 
Ikulu ni ofsi ya umma, ni kama umeenda Kwa mkuu wa mkoa
Jiwe aliitumia vibaya, sikushuhudia tukio ila Kwa hulka ya Jiwe naamini alimimina hizo chuma
Ukilingnisha na ofisi ya Rc unakosea.

Ikulu ina utofauti kwa sababu, ni ofisi na makazi ya Rais hapo hapo.

Rc haishi ofisini anapofanyia kazi.

Sasa kufanyia mauaji nyumbani kwako na huku una mamlaka ya kuamrisha tu mtu kwenda kufyekewa mbali na ikawezekana, nd'omimi akili inagoma kuamini.

Na huyu mwandishi anajulikana kwa adha aliyoipata kwenye utawala huo, siyo wa kumuamini sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…