gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Muulize mama janetKuna bwana mmoja alikuwa anauza madawa ya kulevya..amefariki juz hapa alikuwa gerezani(miaka 30)..mtu WA tanga..
Siku amekamatwa akasafirishwa mpaka state...mzee akamuona ..akamuuliza kumbe wewe ndio desh desh Yanga!!?..Kisha akasema nilikuwa nataka nikuone...Kisha akawaambia walio meta.."Nendeni mkashughulike nae"....
Maghufuli alikuwa mkali lakini sio kufikia hatua ya kuua kwa bastola yake""..I stand to be corrected.