ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Yule alikuwa hakosi na hata Kizimkazi naye alipo anakuwa nacho kwenye taiti yakeNdiye Rais alikua anatembea na walinzi kibao. Atembee nayo ya nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule alikuwa hakosi na hata Kizimkazi naye alipo anakuwa nacho kwenye taiti yakeNdiye Rais alikua anatembea na walinzi kibao. Atembee nayo ya nini?
I wish ma ccm yote,yapotee kama hili jambazi la kisukuma,Nanukuu......
Kitabu cha “In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist” kilichoandikwa na Erick Kabendera, @kabsjourno kimeanza kuuzwa leo. Mwandishi anaeleza kuhusu kutekwa na kuuwawa kwa Ben Rabiu Focas Saanane, December 2016 alipigwa risasi na mwili wake kutupwa mto Rufiji.
View attachment 3189981View attachment 3189980
Ben nilimfahamu zamani enzi hizo tunasoma Lyamungo boys, mimi nikiwa form 1 yeye alikuwa form 3 kwahiyo namfahamu vizuri enzi hizo. Sikumbuki vizuri kama alishaanza kujihusisha na siasa nachokumbuka alikuwa prefect pale Lyamungo.Hiki kitabu nitakipataje? Nakosa uvumilivu wa kukisubiri kinifikie.
Nina wasiwasi kisije kuzuiliwa kuuzika.
Ila Ben Saanane aliniuma sana, pumzika kwa amani rafiki mwema.
Hadithi za kufikirika hizi kunogesha mauzo na umaarufu wa kitabu.Kitabu cha “In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist” kilichoandikwa na Erick Kabendera, kimeanza kuuzwa leo. Mwandishi anaeleza kuhusu kutekwa na kuuwawa kwa Ben Rabiu Focas Saanane, December 2016 alipigwa risasi na mwili wake kutupwa mto Rufiji.
View attachment 3190072View attachment 3190073
Nakuunga mkono. Jamaa kaandika kirahisi rahisi kama vile katoka kubugia pombeAngelisema Magufuli alitoa 'maelekezo' ningeweza kumwamini.
hili la kusema eti alikutanishwa na Magufuli Ikulu na kwa vile Magufuli alipenda kubeba bastola, eti akachomoa bastola na kumpiga risasi kwa mkono wake, hainiingii akilini mimi.
Ni ngumu sana jambo hilo kutendeka kama alivyolirahisisha kwa kuliandika.
Hizo sources zake ni Trust me broSuch allegations needs to be accompanied by hard evidences.., Not Just Hearsay (Sources I have Spoken to)
Just my two Cents.....
Na uwezo mdogo wa kufikiri, kwa dunia ya sasa ya e-books, hilo haliwezekaniRais Dr. Samia Tafadhali Toa Amri Kabendera atiwe nguvuni na kitabu chake kisiuzwe tena. Sentensi hiyo kuhusu Ben Saanane haina Affidavit.
Mmmh!Tumshukuru Mungu kwa kuwa awamu hii watu hawatekwi na kuuawa sababu za kisiasa,
Ni hivi kabla ujanunua ugomvi muelewe adui.Ben saanane yuko wapi
Mwangosi ilikua bomu la machozi, ilikua mchana kweupe,na nilikua mtu mzima tayari,bomu la machozi si kwa ajili ya kuua
Wewe tunakujua una chuki binafsi na marehemu magufuli.Uliposema tusamehe ulilenga tusamehe nani?
Nakuunga mkono. Ni ujuha kuweza hata kufikiria kuwa simulizi hii inaweza kuwa kweli. Naona kwa makusudi kaamua kuweka hii hadithi ili kuibua utata itaopelekea umaarufu na mauzo ya kitabu hiki.Angelisema Magufuli alitoa 'maelekezo' ningeweza kumwamini.
hili la kusema eti alikutanishwa na Magufuli Ikulu na kwa vile Magufuli alipenda kubeba bastola, eti akachomoa bastola na kumpiga risasi kwa mkono wake, hainiingii akilini mimi.
Ni ngumu sana jambo hilo kutendeka kama alivyolirahisisha kwa kuliandika.
Tusubiri wanunue kwanzaKipo amazon dola 18 tu braza.
Nimekitamani ila kwa sisi pirates sijui tunakipataje
What is your point?Mwandishi kwa makusudi kabisa ameamua kutumia picha ambayo ilikua ni siku Magufuli anawasilisha silaha zake kufanyiwa ukaguzi kwa maelekezo ya RC wa Dar.
Ambaye alitaka kila mkazi wa Dar apelekw silaha zake kufanyiwa ukaguzi. Ndipo ikapatikana hiyo picha. Watakaoona hicho kitabu na hawajui juu ya hilo wakisoma hicho kipande cha "he always carried a gun" kuna mtazamo wataupata.