Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Hiyo picha imewekwa hapo kujaribu kutetea hoja ya uongo ya mauaji ya Ben ndani ya ikulu.
Hakuna maandishi ya kusema "Hii hapa ndiyo bastola aliyoitumia Magufuli kumuua Ben Saanane".

Hiyo ni picha ya kweli ya Magufuli.

Hilo hitimisho umefikia wewe.

Na zaidi, ni ukweli kwamba Magufuli anayemiliki bunduki ana uwezekano mkubwa zaidi wa kumuua Ben Saanane kwa mkono wake kuliko Magufuli ambaye hamiliki bunduki.
 
Yeye mwenyewe aliwahi kujisema ni kichaa

Kama ambavyo Trump anaambiwa ni kichaa. Kumbe genius.

Kichaa anaepanda juu kweny kwenye ngazi za uongozi, anatuzidi akili wote mpaka anakuwa Rais ?

Basi na sisi vichaa, manake tumemfanya kichaa kuwa amiri jeshi.

Hakuwa mjinga kihivyo.

Kwa nini amlete Ben Saa 8 nyumbani kwa watoto wake kumshutia pale ???? Don't make no sense!
 
Kama ambavyo Trump anaambiwa ni kichaa.

Kichaa anaepanda juu kwenye uingozi anatuzidi akili wote mpaka anakuwa Rais ?

Basi na sisi vichaa, manake tumemfanya kichaa kuwa amiri jeshi.

Hakuwa mjinga kihivyo.

Kwa nini amlete Saa 8 nyumbani kwa watoto wake kumshutia pale ???? Don't make no sense!
Mkuu,

Wewe Watanzania majority unawaona wana akili? Unajuaje kuwa majority si vichaa, wamemchagua kichaa mwenzao na ndiyo maana mpaka leo wanampenda sana huwaambii kitu.

Wanamuelewa sana, kwa sababu ni kichaa mwenzao.
 
Nanukuu......
Kitabu cha “In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist” kilichoandikwa na Erick Kabendera, @kabsjourno kimeanza kuuzwa leo. Mwandishi anaeleza kuhusu kutekwa na kuuwawa kwa Ben Rabiu Focas Saanane, December 2016 alipigwa risasi na mwili wake kutupwa mto Rufiji.

View attachment 3189981View attachment 3189980
Hii dunia tunapita halimtanguliza mwenzake yeye yuko wap sasa
 
Hakuna maandishi ya kusema "Hii hapa ndiyo bastola aliyoitumia Magufuli kumuua Ben Saanane".

Hiyo ni picha ya kweli ya Magufuli.

Hilo hitimisho umefikia wewe.

Na zaidi, ni ukweli kwamba Magufuli anayemiliki bunduki ana uwezekano mkubwa zaidi wa kumuua Ben Saanane kwa mkono wake kuliko Magufuli ambaye hamiliki bunduki.
Hai make sense mkuu...

Nina uhakika kwa akili za Kabendera alijua akiweka picha hiyo atawafanya watu waamini allegations za kuuwawa kwa Ben kwa mkono wa Magu...

Hakujua watu watahitaji ushahidi zaidi.
 
Angelisema Magufuli alitoa 'maelekezo' ningeweza kumwamini.

hili la kusema eti alikutanishwa na Magufuli Ikulu na kwa vile Magufuli alipenda kubeba bastola, eti akachomoa bastola na kumpiga risasi kwa mkono wake, hainiingii akilini mimi.
Ni ngumu sana jambo hilo kutendeka kama alivyolirahisisha kwa kuliandika.
Ni ngumu kweli.. ila unaweza kumdhamini kabisa bwana mkubwa yule kua asingeliweza kufanya hivyo.
 
What is your point?

Hakubeba bunduki kila mara?

Hiyo picha ni sehemu ya kutengeneza plausibility kwamba Magufuli alimuua Saanane kwa mkono wake mwenyewe.

Ukiweka madai kwamba Alhaji Ali Hassan Mwinyi alimuua mtu kwa mkono wake mwenyewe, kwa bastola, wakati hakuna ushahidi wowote kwamba Alhaji Ali Hassan Mwinyi alikuwa na bastola, hatujui hata kama alijua kutumia bastola, madai hayo yanapata ugumu kukubalika.

Ukiweka madai kwamba Magufuli alimuua mtu kwa mkono wake mwenyewe, ingawa madai hayo bado yana ugumu kuyahakiki, lakini ugumu wake si mkubwa kama yale madai ya Alhaji Ali Hassan Mwinyi, kwa sababu angalau Magufuli tunajua alikuwa na bastola, kuna ushahidi wa picha anaionesha, most likely anajua kuitumia.

Hiyo picha ni ya Magufuli, inajulikana, huwezi kusema kapakaziwa picha si yake.

What is your point?
100% Fact
 
Back
Top Bottom