milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
JPM alijua Kuna kufa kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna maandishi ya kusema "Hii hapa ndiyo bastola aliyoitumia Magufuli kumuua Ben Saanane".Hiyo picha imewekwa hapo kujaribu kutetea hoja ya uongo ya mauaji ya Ben ndani ya ikulu.
Yeye mwenyewe aliwahi kujisema ni kichaa
Sasa unalialia nini.Wapi nimekataa picha isitumike?
Mkuu,Kama ambavyo Trump anaambiwa ni kichaa.
Kichaa anaepanda juu kwenye uingozi anatuzidi akili wote mpaka anakuwa Rais ?
Basi na sisi vichaa, manake tumemfanya kichaa kuwa amiri jeshi.
Hakuwa mjinga kihivyo.
Kwa nini amlete Saa 8 nyumbani kwa watoto wake kumshutia pale ???? Don't make no sense!
Wakimgeuka?Ndiye Rais alikua anatembea na walinzi kibao. Atembee nayo ya nini?
Akikizuia atakuwa anafanya promotion. Aache watu wasome watakaoamini.waamimi.na wasioamini wake na msimamo wao.Rais Dr. Samia Tafadhali Toa Amri Kabendera atiwe nguvuni na kitabu chake kisiuzwe tena. Sentensi hiyo kuhusu Ben Saanane haina Affidavit.
Hii dunia tunapita halimtanguliza mwenzake yeye yuko wap sasaNanukuu......
Kitabu cha “In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist” kilichoandikwa na Erick Kabendera, @kabsjourno kimeanza kuuzwa leo. Mwandishi anaeleza kuhusu kutekwa na kuuwawa kwa Ben Rabiu Focas Saanane, December 2016 alipigwa risasi na mwili wake kutupwa mto Rufiji.
View attachment 3189981View attachment 3189980
Mimi tena ndiye nalia?Sasa unalialia nini.
Hukatai picha kutumika. Picha imetumika.
Tatizo lako nini?
Kuna mashindano ya kuua?Jamaa akapata fursa ya kutokea kwa kuandika kitabu. Mbona wanaopotezwa na serikali za dunia hii ni wengi kabisa,magufuli hajaua hata watu buku. Wengine akina Stalin mao ze.dong waliua mamilioni
Hai make sense mkuu...Hakuna maandishi ya kusema "Hii hapa ndiyo bastola aliyoitumia Magufuli kumuua Ben Saanane".
Hiyo ni picha ya kweli ya Magufuli.
Hilo hitimisho umefikia wewe.
Na zaidi, ni ukweli kwamba Magufuli anayemiliki bunduki ana uwezekano mkubwa zaidi wa kumuua Ben Saanane kwa mkono wake kuliko Magufuli ambaye hamiliki bunduki.
DuuuuKuna mashindano ya kuua?
Ni ngumu kweli.. ila unaweza kumdhamini kabisa bwana mkubwa yule kua asingeliweza kufanya hivyo.Angelisema Magufuli alitoa 'maelekezo' ningeweza kumwamini.
hili la kusema eti alikutanishwa na Magufuli Ikulu na kwa vile Magufuli alipenda kubeba bastola, eti akachomoa bastola na kumpiga risasi kwa mkono wake, hainiingii akilini mimi.
Ni ngumu sana jambo hilo kutendeka kama alivyolirahisisha kwa kuliandika.
100% FactWhat is your point?
Hakubeba bunduki kila mara?
Hiyo picha ni sehemu ya kutengeneza plausibility kwamba Magufuli alimuua Saanane kwa mkono wake mwenyewe.
Ukiweka madai kwamba Alhaji Ali Hassan Mwinyi alimuua mtu kwa mkono wake mwenyewe, kwa bastola, wakati hakuna ushahidi wowote kwamba Alhaji Ali Hassan Mwinyi alikuwa na bastola, hatujui hata kama alijua kutumia bastola, madai hayo yanapata ugumu kukubalika.
Ukiweka madai kwamba Magufuli alimuua mtu kwa mkono wake mwenyewe, ingawa madai hayo bado yana ugumu kuyahakiki, lakini ugumu wake si mkubwa kama yale madai ya Alhaji Ali Hassan Mwinyi, kwa sababu angalau Magufuli tunajua alikuwa na bastola, kuna ushahidi wa picha anaionesha, most likely anajua kuitumia.
Hiyo picha ni ya Magufuli, inajulikana, huwezi kusema kapakaziwa picha si yake.
What is your point?
Mzee clip ya Mwangosi kuuwawa umeiona na bado umeandika hiki ulichoandika?Mwangosi bomu la machozi la ffu lilimpata tumboni,mi lilinipiga mgongoni 2002 maandamano ya waislam,lengo la bom la machozi siyo kuua