Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Kuna bwana mmoja alikuwa anauza madawa ya kulevya..amefariki juz hapa alikuwa gerezani(miaka 30)..mtu WA tanga..
Siku amekamatwa akasafirishwa mpaka state...mzee akamuona ..akamuuliza kumbe wewe ndio desh desh Yanga!!?..Kisha akasema nilikuwa nataka nikuone...Kisha akawaambia walio mleta.."Nendeni mkashughulike nae"....
Mzee alikuwa mkali lakini sio kufikia hatua ya kuua kwa bastola yake""..I stand to be corrected.
I agree with you , hii tuhuma imekuwa kubwa mno.
Na haiwezi kuwa rahisi kiasi hicho mtu mwenye wadhifa wa urais awe na maamuzi ya kutekeleza Murder kiwepesi namna hio.
 
M
Hiki kitabu nitakipataje? Nakosa uvumilivu wa kukisubiri kinifikie.
Nina wasiwasi kisije kuzuiliwa kuuzika.

Ila Ben Saanane aliniuma sana, pumzika kwa amani rafiki mwema.
fuate inbox eric twitter eric kabendera atakupa utaratibu
 
The same story is ,Lakin those days Kuna mengi yalikuwa hayaripotiwi maana hata wana Habari walikuwa wanapewa warning,kwa sasa angalau hata tqarifa zinatolewa watu wamepotea ama kuuawa,,tawala zote nk zakizalimu but that dude was too much
Mfano yapi yaliyokuwa hayalipotiwi na uliyajuaje?

Maana nakumbuka zile maiti kuokotwa, hakuna aliyezuiwa kuripoti hizo tarifa...

Kwa nilivyokuelewa wewe muumini wa tawala zinazoua watu kwa uwazi na sio kificho kama kipindi hicho!
 
Magufuli alifanya hili tukio kwa mkono wake na humu jf ililetwa mpaka thread na ilikuwa ni kipindi ambacho kulikuwa na madai kwamba aliuliwa kwenye Moja ya safe houses za usalama halafu akapelekwa kwenye kisiwa Fulani kule bahari ya Hindi akamezwa na chatu ndio wavuvi wakaja wakaona shati na handkerchief baada ya madai haya ndio jamaa mmoja akaja akasema hapana aliuwawa na JPM kwa mkono wake mwenyewe.
Kwa hio huyo jamaa aliye sema hivyo hawezi kuwa mwandishi wa hiki kitabu kinacho jadiliwa hapa.
 
Kama unajua kusoma na ku comprehend ulichosoma, sijasema nimeamini maelezo ya Mo, nimesema alichokisema Mo,
Mbona unajitia ujiaji wakati huna akili kiasi hicho?
Alichokisema moo hukuamini , Bado unatoa hoja Kwa hiko hiko ambacho hukikiamini...
So unachohoji ni Nini kama na wewe pia hukuamini..
 
Hiki kitabu nitakipataje? Nakosa uvumilivu wa kukisubiri kinifikie.
Nina wasiwasi kisije kuzuiliwa kuuzika.

Ila Ben Saanane aliniuma sana, pumzika kwa amani rafiki mwema.
Usijifanye jasiri kupitiliza kwa watawala wa kiafrica, utawapa hasara wazazi na familia yako kiutani utani hivi. Hapo Kenya tu wale front liners wa maandamano ya vijana sijui mnaita genz wanapotea mmoja mmoja
 
Kama serikali italikalia kimya hili la rais wa nchi kuua hakuta kuwa na shaka uwepo wa serikali mkono wake kwenye hiki kitabu.
Nimekuelewa sana! Kama ndivyo, hayo yanafanyika kwa faida ya nani? Kwani aliokuwa ni wa chama cha upinzani yule?! Sasa kumchafua yeye si ni kujichafua wenyewe wote hasa katika kipindi hiki cha uchaguzi mkuu?! Wapinzani wakikomaa na hii point kwenye kampeni, wahusika watatoboa kweli?
 
Jamaa akapata fursa ya kutokea kwa kuandika kitabu. Mbona wanaopotezwa na serikali za dunia hii ni wengi kabisa,magufuli hajaua hata watu buku. Wengine akina Stalin mao ze.dong waliua mamilioni
Kumbe ukiwa mtawala/Rais unajifunza kuua kwa kujilinganisha na Marais wa nchi nyingine. Na haiwezekani kuwa Mtawala/Rais bila kuua. Mbona naogopa hizi siasa.
 
Both opposition and government sources I have spoken to…

Hii ni serious allegation. Hivi Kabendera yupo Tanzania au alishahamia nje ya Nchi? Urais ni taasisi na wanaweza kumuita athibitishe hiki alichoandika

Ngoja tununue hicho kitabu tukisome neno kwa neno
Serikali isipomtia nguvuni wananchi tutaamini wamemtuma kuja kumchafua Rais Magufuli marehemu. Atakua yupo nchini au kishakimbia
 
Usijifanye jasiri kupitiliza kwa watawala wa kiafrica, utawapa hasara wazazi na familia yako kiutani utani hivi. Hapo Kenya tu wale front liners wa maandamano ya vijana sijui mnaita genz wanapotea mmoja mmoja
Uko sawasawa kweli? Nilichokiandika kinahusiana vipi na haya uliyoyasema? Yani kuhitaji kitabu ni kosa?
 
Back
Top Bottom