Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
I agree with you , hii tuhuma imekuwa kubwa mno.Kuna bwana mmoja alikuwa anauza madawa ya kulevya..amefariki juz hapa alikuwa gerezani(miaka 30)..mtu WA tanga..
Siku amekamatwa akasafirishwa mpaka state...mzee akamuona ..akamuuliza kumbe wewe ndio desh desh Yanga!!?..Kisha akasema nilikuwa nataka nikuone...Kisha akawaambia walio mleta.."Nendeni mkashughulike nae"....
Mzee alikuwa mkali lakini sio kufikia hatua ya kuua kwa bastola yake""..I stand to be corrected.
Na haiwezi kuwa rahisi kiasi hicho mtu mwenye wadhifa wa urais awe na maamuzi ya kutekeleza Murder kiwepesi namna hio.