Erick Kabendera: Mwendazake aliendesha genge la wahuni na alikusudia kumkamata Rais Mstaafu Kikwete

Kavuliwa shati alilovaa kwa vile lilijaa damu akavishwa jezi ya Chelsea
Hili Taifa lenu mngekuwa na Katiba bora na sheria za maana ambazo Rais mstaafu anaweza kushtakiwa, mngekuwa na mstaafu wa Urais uraiani?
 
Kabendera kila akilala humuota JPM, he haunted him
 
NI kweli marehemu alikuwa na michezo ya kihuni.
Ila kwa Sasa haya unayofanya bwana kabendera hayana maana.
Yupo zake chato anajigeuza geuza.
Na kule alipo Hana smartphone
Kweli, hatua ni muhimu kuchukuliwa ili asitokee kiongozi mwingine wa aina hiyo!
 
Kufa Kwa yule Jamaa ni faida Kwa Nchi maana hakuna rangi tungeacha kuona 🤣 🤣
 
Kufa Kwa yule Jamaa ni faida Kwa Nchi maana hakuna rangi tungeacha kuona 🤣 🤣
Kwani kunatofauti gani na sasa? Si tunatemwa kama kawaida na sasa imezidi ata unaweza simamishwa mchana kweupe.
 
Kabendera kila akilala humuota JPM, he haunted him
Sio kuota tu, kamuandikia kitabu kabisa. Nightmare sio mchezo. Ben Saanane angepona angeandika encyclopedia britannica ya Jiwe kabisa.

Kabendera aliponea tundu la sindano. Kosa: kuandikia The Economist na kupokea malipo ya dollars ikageuzwa kuwa kuendesha genge la uhalifu na utakatishaji pesa!

Hakuna kitu kinatia hofu kama kukabiliana na kifo ana kwa ana. Ask deathrow inmates.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…