Erick Kabendera: Mwendazake aliendesha genge la wahuni na alikusudia kumkamata Rais Mstaafu Kikwete

Uraisi ni taasisi na taasisi ni watu na huwezi kuwatoa watu hao kwenye uovu wa taasisi hiyo ama kwa kuufumbia macho uovu huo au kwa kuusapoti..........

Kimantiki huwezi kumuweka kando Samia Kwa tuhuma ovu dhidi ya Magufuli na watu wa karibu.........

Hakujawahi kuwa na rais mwenye taasisi safi ndani ya nchi yetu Kwa kuwa watawala wakishashika usukani hawalendezwi na maoni au mitazamo ya wanaowaongoza........

Wanachozidiana na uovu lakini wote ni waovu........

Kama ambavyo walitolewa meno wakina Ulimboka Kwa kupigania haki na maslahi Yao ndio walivyo angamizwa wengine kwenye utawala ule......

Tunachotakiwa kufanya ni kupigania katiba mpya itakayokuwa na uwezo wa kuwajibisha taasisi ya uraisi kwenye mikono ya kisheria ili kuleta uadirifu na uwajibikaji kwenye taasisi hiyo Kwa maslahi ya umma.......
 
Kwan jiwe hakujua jk ndiye kikwazo cha yeye kuwa rais wa maisha?
Halafu,hizi sentensi za kukataa kataa mambo sijui huwa wanazitoa wapi?Lissu alikuwa anasema kuna watu wenye nia ovu wanamfuatafuata kila aendapo.Wakagoma na kukejeli kwamba nani amfuate au amdhuru Lissu?Kwa lipi?Kwani ana nini?Wakaenda mbali na kudai ni muongo tu na anataka cheap popularity!Yaliyotokea wakaanza kusema wafyatua risasi ni CHADEMA.
 
Kaka,naheshimu sana maono yako, ila mimi binafsi sioni sababu ya kumsema sana jiwe sasa,kashalala na alitubu dhambi zake, tujenge nchi yetu,yeye hasikii haya wanayomsema,bura Lissu alimpa za uso akiwa mzimq
Hatuwezi kuufumbia mcho uovu wa jiwe eti kwa sababu alishakufa. Hitler, musolini, Idi Amini etc bado watu wanauzungumzia ushetani wao japo walikufa miaka mingi iliyopita
 
Wewe unamuona wa hovyo lakini mambo kibao watu wameingia mamikataba hata hatuelewi yakoje ww gas ya mtwara hatujui hata inafaida gani na mambo mengi ni bora tu angewafinya wote wangese...China unayoiona Mao alifanya unyama wa hali ya juu ndo unaiona china leo inakimbiza dunia sometime ukauzu unafaa kutengeneza taifa bora.
 
Nenda kwa Ground ukafanye utafiti watu wanamzungumziaje mwendazake utapata majibu yote kama alikuwa msanii au alikuwa mwamba wao !!
 
Hahaha sound nayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jk akamatwe kwa sheria hipi?
 
Unge yasema hayo akiwa bado yuko hai yangekua na maana kidogo lakini kuyasema sasa hivi ni chai "iliyoungua" isiyokua na sukari
 
ungesema angali akiwa hai,
Huwaga mnajitoa ufahamu BENI SANANE aliyasema hayo magufuli angali hai je? Unaweza kutueleza magali alipo beni saa nane?? Jee ulipenda wwngi wa watanzania wafikwe na hayo? Hata TUNDU LISU nae aliyasema hayo magufuli akiwa hai jee? Mnaweza kutueleza ninini kilicho mpata?

Kwa kuwa hakutaka kusemwa akiwa hai basi wacha mzoga wake usemwe sana
 
Unge yasema hayo akiwa bado yuko hai yangekua na maana kidogo lakini kuyasema sasa hivi ni chai "iliyoungua" isiyokua na sukari
Huwaga mnajitoa ufahamu nyie BENI SANANE aliyasema hayo magufuli angali hai je? Unaweza kutueleza magali alipo beni saa nane?? Jee ulipenda wwngi wa watanzania wafikwe na hayo? Hata TUNDU LISU nae aliyasema hayo magufuli akiwa hai jee? Mnaweza kutueleza ninini kilicho mpata?

Kwa kuwa hakutaka kusemwa akiwa hai basi wacha mzoga wake usemwe sana

Q
 
Huyu kabendera ambaye alitupwa lupango alilia mpaka kamasi zikamtoka? Ni huyu ambaye mama yake alitoka na kwenda kumuombea msamaha kwa serikali? Mahakama si ilimkuta na hatia? Sasa anajificha kwenye kivuli cha kikwete!! Ndie aliyemtuma kuandika zile makala? Nyie,!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…