KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Uraisi ni taasisi na taasisi ni watu na huwezi kuwatoa watu hao kwenye uovu wa taasisi hiyo ama kwa kuufumbia macho uovu huo au kwa kuusapoti..........
Kimantiki huwezi kumuweka kando Samia Kwa tuhuma ovu dhidi ya Magufuli na watu wa karibu.........
Hakujawahi kuwa na rais mwenye taasisi safi ndani ya nchi yetu Kwa kuwa watawala wakishashika usukani hawalendezwi na maoni au mitazamo ya wanaowaongoza........
Wanachozidiana na uovu lakini wote ni waovu........
Kama ambavyo walitolewa meno wakina Ulimboka Kwa kupigania haki na maslahi Yao ndio walivyo angamizwa wengine kwenye utawala ule......
Tunachotakiwa kufanya ni kupigania katiba mpya itakayokuwa na uwezo wa kuwajibisha taasisi ya uraisi kwenye mikono ya kisheria ili kuleta uadirifu na uwajibikaji kwenye taasisi hiyo Kwa maslahi ya umma.......