Erick Kabendera: Mwendazake aliendesha genge la wahuni na alikusudia kumkamata Rais Mstaafu Kikwete

Erick Kabendera: Mwendazake aliendesha genge la wahuni na alikusudia kumkamata Rais Mstaafu Kikwete

Watanzania raia wa ajabu
Umbea wa siasa
Ubishani wa mipira

Wape kazi sasa wavivu hatari.
Kulalamika ndio uwezo ulipoimarika wao.

Kuna raia hapa zina comment kwa uchungu ila huko kazini hatimizi majukumu yake kwa wakati, anacheki mianya ya upigaji😂 na kula kuku kwa mrija na shankupe lake.

Eyooo pigeni kazi
Umbea achia wadada wa saloon.
 
Magu ana mabaya sawa lakini hii ya kumkamata JK ni saundi/chai/fiksi za huyu Mandevu🤣
 
Sasa hayupo na hawezi chunguzwa, Saa 100 mwenyewe lazima alishiriki mambo yanayosemwa mfano ununuzi wa ndege nk

Haina maana kwa sasa,na viongozi wa sasa ni kama mwendazake tu ndio maana waliimba ccm ni ile ile
Wakurungwa walivyo wanafiki kama kawaida yao watamponda plus pindi tu atakapoachia kiti hicho kisio na mwenyewe

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Sawaa sisi sio watoto wadogo

Hatuhitaji propaganda

Let ushaidi

Wewe hizo midolaa uliokuwa unapewa na mabeberu za kazi ganii.

Tuanze hapo tujibu ,sema zilikuwa za nini ,kwanini wakupe wewe.
Maana ushaidi upo

Ulikiri makosa na ukalipa uliufutiwe kesiii

Povu Ruksa tutoe ushaidi
Ushahidi gani ktk uhalisia?
Kwani syo kweli kua jpm alikua anaua,anatesa,anateka na kuchukua hela za watu?
Kwani hayo hayamfanyi aonekane ni kweli alikua anataka kumkamata jk.
 
Huyu Jamaa ni kweli alikua anaandika zile makala.
 
Mfanyabiashara maarufu. Labda ana maana Harbinder Sethy Singh. Yule nilidhani bado yuko ndani. Lakini apparently ametoka maanake nilimsikia last week anasema nini sijui, anataka arudishiwe kampuni yake ya IPTL.
Ameteswa gerezani? Well,hili tatizo kubwa sana. Haiwezekani kwangu kutoa comment ( off the bat), yaani,haiwezelani kutoa maoni instantly, immediately.
 
Back
Top Bottom