Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Weeeeeh angenyofolewa kiungo kimoja kimoja kwanza kwa kutoa siri... Nadhani genge lilishagundua kuna leakage za uovu wao Nadhani ndio sababu ya kumkamata.ungesema angali akiwa hai,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weeeeeh angenyofolewa kiungo kimoja kimoja kwanza kwa kutoa siri... Nadhani genge lilishagundua kuna leakage za uovu wao Nadhani ndio sababu ya kumkamata.ungesema angali akiwa hai,
wewe ungeweza kusema?.ungesema angali akiwa hai,
ili iweje...kama wewe uliomuona ni mungu endelea kumwabudu. waache walioumizwa watapike nyongoungesema angali akiwa hai,
wewe kwa akili zako hizo, unadhani jiwe alikuwa anafata katiba ya nchi au utashi wake?.Huyu Kabendera ana Mental disorder,sasa Magufuli amkamate Kikwete ili amfanyaje wakati kikatiba Rais haruhusiwi kushitakiwa achilia mbali kukamtwa[emoji1787]
Mo alitekwa na timu Msoga kumchafua Magufuli na mauaji ya viongozi timu Msoga ndiyo suspect wa matukio.
🤣Yule angewapa hata mimba mashangaziMimi sishauriki kabisa, ukinishauri ndiyo unaharibu kabisa, sasa hapo makamu na pm wangefanyaje ili hali mpaka mashangazi wa pm walitaka kupigwa
Huyo muhuni wa Msoga ndiyo anaharibu nchi,msifieni sana Ila siku mukimjua vizuri mtabaki midomo wazi.Nadhani tutaelewana muda ukifika,kwasasa bidhaa ambayo haijapanda Bei ni Chumvi ya mboga tu.Sukuma gang mnajua kujizima data
Hakuna mshamba yeyote anayeweza kuipasua ccm kwa nyakati hizi na miaka 50 ijayo, Darasa limetosha.Team Msoga wameanza propaganda, haya mashambulizi dhidi ya JPM yatakuja kuipasua CCM 2030.
Muhuni ni yule aliyetaka kuvunja katiba atawale taifa hili lenye misingi imara milele, JK alitukomboa kwa kukataa uhuni na kuuzima, usitokee ki #VAN DAME!Huyo muhuni wa Msoga ndiyo anaharibu nchi,msifieni sana Ila siku mukimjua vizuri mtabaki midomo wazi.Nadhani tutaelewana muda ukifika,kwasasa bidhaa ambayo haijapanda Bei ni Chumvi ya mboga tu.
Kwani kuna Rais anafuata katiba Tanzania?toka lini vibaka wa CCM wanafuata katiba?wewe kwa akili zako hizo, unadhani jiwe alikuwa anafata katiba ya nchi au utashi wake?.
Anayetoa hizi hoja ni #muhanga wa genge tajwa, alisulubiwa kweli acha atujuze ya sirini.Magufuli hachafuliwi kwa njia hiii
Na bado mtateseka sana
ungesema angali akiwa hai,
Thubutu yako, kalagha bao, mwendo ni wa kupeta tuu, angalia usife mwenyewe!Nusu bendera itatokea kabla ya uchaguzi 2025 Mungu fundi sana. Tusaze maneno, time will tell.
Hahaaa sawa heshimuni state, hata majuha pia wana hatari za kazi za malaika waaminifuThubutu yako, kalagha bao, mwendo ni wa kupeta tuu, angalia usife mwenyewe!
DUA ZA KHERI ZOTE WANAOMBEWA...
Kwa ubavu gani?ungesema angali akiwa hai,
Uwehu ni mbaya Sana.Yaani ni bidii na juhudi za kuondoa legacy iliyopo. Hata siku moja haitafanikiwa. Legacy utaiondoaje? Na Mungu anakasirika kwa juhudi za kishetani kama hizo. Ona mauaji ya kiajabu yanayofanana na yale ya albino albino yamerudi. Ona ajali zinazoua makumi ya watu zimerudi na tulishasahau yote hayo. JPM aliingia mauaji ya albino STOP. Vifo vya ajabu ajabu stop. Sasa wamefanya walichofanya JPM hayupo yamerudi hayo mauaji. Bila toba kwa Mungu hii nchi ni finished. Ona ukame wenzetu majirani mvua kuliko wastani. Jamani TUTUBU kwa ajili ya waTZ waliomfa nyia mabaya na wanaoendeleza kujaribu kufuta legacy japo KAMWE hawatafanikiwa
Haipaswi kumuuma sana nina uhakika nae cha moto alikuwa anakipata huko kwenye ndoa yaoMama janet akiyasikia haya huko alipo sijui anajisikiaje
Jamaa alikua mshamba sana kama Nape alivyosema.Yaani mtu mwitu wa Chato ndanindani afanikiwe kumkamata mtoto wa mjini@?? Tena mafia,kitambo sana katika hizi kazi..Mawazo ya mwendazake sasa yalifikia hatua ya mwisho kabisa ya kuwa mawazo mfu,angalau angesikiliza washauri bais dah!!