Erick Kabendera: Mwendazake aliendesha genge la wahuni na alikusudia kumkamata Rais Mstaafu Kikwete

Erick Kabendera: Mwendazake aliendesha genge la wahuni na alikusudia kumkamata Rais Mstaafu Kikwete

Huyu Kabendera ana Mental disorder,sasa Magufuli amkamate Kikwete ili amfanyaje wakati kikatiba Rais haruhusiwi kushitakiwa achilia mbali kukamtwa[emoji1787]
Mo alitekwa na timu Msoga kumchafua Magufuli na mauaji ya viongozi timu Msoga ndiyo suspect wa matukio.
wewe kwa akili zako hizo, unadhani jiwe alikuwa anafata katiba ya nchi au utashi wake?.
 
Huyo muhuni wa Msoga ndiyo anaharibu nchi,msifieni sana Ila siku mukimjua vizuri mtabaki midomo wazi.Nadhani tutaelewana muda ukifika,kwasasa bidhaa ambayo haijapanda Bei ni Chumvi ya mboga tu.
Muhuni ni yule aliyetaka kuvunja katiba atawale taifa hili lenye misingi imara milele, JK alitukomboa kwa kukataa uhuni na kuuzima, usitokee ki #VAN DAME!
 
wewe kwa akili zako hizo, unadhani jiwe alikuwa anafata katiba ya nchi au utashi wake?.
Kwani kuna Rais anafuata katiba Tanzania?toka lini vibaka wa CCM wanafuata katiba?
Hakuna mtu msafi ndani ya CCM ukimuondoa Hayati Mwl.Nyerere?wote wapigaji tu,angalia mishahara yao na maisha wanayoishi ndiyo utagundua kuwa katiba yetu inayosisitiza usitawi wa jamii wa Watanzania wote haifuatwi!
 
Yaani ni bidii na juhudi za kuondoa legacy iliyopo. Hata siku moja haitafanikiwa. Legacy utaiondoaje? Na Mungu anakasirika kwa juhudi za kishetani kama hizo. Ona mauaji ya kiajabu yanayofanana na yale ya albino albino yamerudi. Ona ajali zinazoua makumi ya watu zimerudi na tulishasahau yote hayo. JPM aliingia mauaji ya albino STOP. Vifo vya ajabu ajabu stop. Sasa wamefanya walichofanya JPM hayupo yamerudi hayo mauaji. Bila toba kwa Mungu hii nchi ni finished. Ona ukame wenzetu majirani mvua kuliko wastani. Jamani TUTUBU kwa ajili ya waTZ waliomfa nyia mabaya na wanaoendeleza kujaribu kufuta legacy japo KAMWE hawatafanikiwa
Uwehu ni mbaya Sana.
 
Amkamate JK kwa sheria na katiba ipi kwanza?kuna wakati watu wanaandika uongo mpaka wanajisahau...
 
Back
Top Bottom