Erick Kabendera: Mwendazake aliendesha genge la wahuni na alikusudia kumkamata Rais Mstaafu Kikwete

Erick Kabendera: Mwendazake aliendesha genge la wahuni na alikusudia kumkamata Rais Mstaafu Kikwete

Hata ikitokea jiwe harudi tena ikulu wala machawa wake hatutakaa tuwarudishe ikulu.

Under mkwere's tactical and technical skills don't expect any sukuma gang to step in state house again.
Huo uhuru wako wa maoni nauheshemu. Kila jambo lina miiko yake.
 
Yaani unataka jiwe afichiwe ujinga wake ? Usimtishe Kabendera mburura wewe. Jiwe ndiyo kagarazwa na legacy imezamishwa kaburini kabisa
Uwe mpole wewe kajwaga tu kama kajwaga, maisha ni kanuni, huwezi kuinajisi state ukachekewa. It's ur endeeleni kujifariji.
 
Namaanisha, yeye,saa10 ,katelephone na huyu makamu mpaka piko ni kitu kimoja, sioni sababu mtu kusema zama zile zilikuwa za giza wakati hadi sasa kero tu

Tena bora wakati wa jiwe hakukuwa na tozo na tulitumia mbs kwa raha, hawa wa sasa ni hovyo tu ,hivo basi ,hoja yangu ni kwamba tutafute namna ya kuitoa CCM
Mimi sishauriki kabisa, ukinishauri ndiyo unaharibu kabisa, sasa hapo makamu na pm wangefanyaje ili hali mpaka mashangazi wa pm walitaka kupigwa
 
Huyu Kabendera ana Mental disorder,sasa Magufuli amkamate Kikwete ili amfanyaje wakati kikatiba Rais haruhusiwi kushitakiwa achilia mbali kukamtwa🤣
Mo alitekwa na timu Msoga kumchafua Magufuli na mauaji ya viongozi timu Msoga ndiyo suspect wa matukio.
 
Huyu Kabendera ana Mental disorder,sasa Magufuli amkamate Kikwete ili amfanyaje wakati kikatiba Rais haruhusiwi kushitakiwa achilia mbali kukamtwa[emoji1787]
Mo alitekwa na timu Msoga kumchafua Magufuli na mauaji ya viongozi timu Msoga ndiyo suspect wa matukio.
Sukuma gang mnajua kujizima data
 
View attachment 2386088
Legacy inazidi kuzamishwa chini zaidi. Mwendazake alikuwa wa hovyo sana
Yaani ni bidii na juhudi za kuondoa legacy iliyopo. Hata siku moja haitafanikiwa. Legacy utaiondoaje? Na Mungu anakasirika kwa juhudi za kishetani kama hizo. Ona mauaji ya kiajabu yanayofanana na yale ya albino albino yamerudi. Ona ajali zinazoua makumi ya watu zimerudi na tulishasahau yote hayo. JPM aliingia mauaji ya albino STOP. Vifo vya ajabu ajabu stop. Sasa wamefanya walichofanya JPM hayupo yamerudi hayo mauaji. Bila toba kwa Mungu hii nchi ni finished. Ona ukame wenzetu majirani mvua kuliko wastani. Jamani TUTUBU kwa ajili ya waTZ waliomfa nyia mabaya na wanaoendeleza kujaribu kufuta legacy japo KAMWE hawatafanikiwa
 
Back
Top Bottom