Erick Omondi amua kuingia kwenye maji kuokoa wakenya kwenye mafuriko unaweza toa machozi

Erick Omondi amua kuingia kwenye maji kuokoa wakenya kwenye mafuriko unaweza toa machozi

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Namwona Eric Omond ni mtu mwenye moyo sana.

Namwona kama mtu anayeishi maisha halisia kabisa.

Hata komedi zake hazina uongo uongo kabisa.

Ukiangalia hii video unaweza toa machozi.

Jamaa ana akili sana.

Namwona Eric Omond ni mtu mwenye moyo sana.

Namwona kama mtu anayeishi maisha halisia kabisa.

Hata komedi zake hazina uongo uongo kabisa.

Ukiangalia hii video unaweza toa machozi.

Jamaa ana akili sana.

View attachment 2974606
Kimsingi celebrate wa weusi wanajisahau sana na ndo maana mwisho wao huwa ni mbaya sana.

Wanatumia nguvu na muda mwingi kulinda brand kwa kufake maisha na kuwa mbali na jamii.

Erico anafanya jambo jema na litamuinua pakubwa.
 
Eric Omondi kuna moves anazifanya lately zinanipa maswali mengi, ana mpango gani kisiasa?
Hizi moves anazozifanya sio za kawaida.
kwanini useme ni siasa? Kwanini isiwe labda katika makuzi yake alishawahi kusaidiwa katika hali ngumu. Hivyo anarudisha katika jamii? Kwann iwe lazima ni siasa?
 
Back
Top Bottom