Erick Omondi amua kuingia kwenye maji kuokoa wakenya kwenye mafuriko unaweza toa machozi

Erick Omondi amua kuingia kwenye maji kuokoa wakenya kwenye mafuriko unaweza toa machozi

Huo ni Msaada au amepata uwanja wa kutafutia 'promo'.

Kujichukua Kamera kwenye mambo mazito kama hayo ni sawa na kuchukua picha wakati wa kugegedana.....inabadilisha kabisa uzito wa jambo husika.
Unategemea Cristiano Ronaldo msaada hapo Kisesa hakutakua na Camera?

Unachoshindwa kutofautisha yule ni Eric Omondi na wewe Ngorunde.

Hilo tukio ungefanya wewe kusingekuwa na camera.
 
Mkuu wewe ungefanya hicho alichofanya jamaa
Mnayakuza sana haya mambo,huyo mpaka kufanya hivyo anayajua maji yalivyo hawezi tu kuwa ametoka huko mbio mbio avamie asichokijua!

Hakuna binadamu anayejitambua ataamua tu amuache mwenzake aangamie huku akiwa na uwezo wa kumuokoa,swali lako lingekuwa na maana kama ungemuuliza ”angekuwa na skills za huyo jamaa angefanya hivyo”
 
Unategemea Cristiano Ronaldo msaada hapo Kisesa hakutakua na Camera?

Unachoshindwa kutofautisha yule ni Eric Omondi na wewe Ngorunde.

Hilo tukio ungefanya wewe kusingekuwa na camera.
Camera ya waandishi wa habari ni tofauti na ya kujichukua mwenyewe..

Tofautisha!
 
Namwona Eric Omond ni mtu mwenye moyo sana.

Namwona kama mtu anayeishi maisha halisia kabisa.

Hata komedi zake hazina uongo uongo kabisa.

Ukiangalia hii video unaweza toa machozi.

Jamaa ana akili sana.

View attachment 2974606
We nae hamnazo kweli kweli,maigizo ya mtu kutafuta sifa na kiki nchini we unasema ni mtu,angekua kama ulivyosema wala asingechukua vi clip vya kuweka mitandaoni
 
Akili za wapiga kura zilivyo za kijinga zinaona huyo ndio mkombozi 😀 😀 😀 😀 very stupid
 
Hivi kuna nchi ina wapumbavu kama Tanzania? jamaa ametoa msaada mtu huko Nanja anakasirika.
 
Eric Omondi kuna moves anazifanya lately zinanipa maswali mengi, ana mpango gani kisiasa?
Hizi moves anazozifanya sio za kawaida.
fununu ki kuwa atasimama ubunge kwa chama cha odm 2027 eneo la bunge langata baada ya mbunge wa sasa kukihasi chama(jalango)
 
Back
Top Bottom