Unategemea Cristiano Ronaldo msaada hapo Kisesa hakutakua na Camera?Huo ni Msaada au amepata uwanja wa kutafutia 'promo'.
Kujichukua Kamera kwenye mambo mazito kama hayo ni sawa na kuchukua picha wakati wa kugegedana.....inabadilisha kabisa uzito wa jambo husika.
Mnayakuza sana haya mambo,huyo mpaka kufanya hivyo anayajua maji yalivyo hawezi tu kuwa ametoka huko mbio mbio avamie asichokijua!Mkuu wewe ungefanya hicho alichofanya jamaa
Camera ya waandishi wa habari ni tofauti na ya kujichukua mwenyewe..Unategemea Cristiano Ronaldo msaada hapo Kisesa hakutakua na Camera?
Unachoshindwa kutofautisha yule ni Eric Omondi na wewe Ngorunde.
Hilo tukio ungefanya wewe kusingekuwa na camera.
Hicho ndio tunachokitaka mkuu. Kama anacheza movie ichezwe uhalisia kama hivyo...Jamaa anajua anachokifanya
Tumia Shazam utaujuamimi
mimi naomba kujua huo wimbo jina lake
nasikilazaje shazam na vdeo ina play?Tumia Shazam utaujua
We nae hamnazo kweli kweli,maigizo ya mtu kutafuta sifa na kiki nchini we unasema ni mtu,angekua kama ulivyosema wala asingechukua vi clip vya kuweka mitandaoniNamwona Eric Omond ni mtu mwenye moyo sana.
Namwona kama mtu anayeishi maisha halisia kabisa.
Hata komedi zake hazina uongo uongo kabisa.
Ukiangalia hii video unaweza toa machozi.
Jamaa ana akili sana.
View attachment 2974606
Erick ni mjanja kama unavyomwona.Eric Omondi kuna moves anazifanya lately zinanipa maswali mengi, ana mpango gani kisiasa?
Hizi moves anazozifanya sio za kawaida.
Upo sahihi mkuuHicho ndio tunachokitaka mkuu. Kama anacheza movie ichezwe uhalisia kama hivyo
Si unaona kama hivi, ameanzishiwa uziHicho ndio tunachokitaka mkuu. Kama anacheza movie ichezwe uhalisia kama hivyo
Uko sahihi mkuuHuo ni Msaada au amepata uwanja wa kutafutia 'promo'.
Kujichukua Kamera kwenye mambo mazito kama hayo ni sawa na kuchukua picha wakati wa kugegedana.....inabadilisha kabisa uzito wa jambo husika.
fununu ki kuwa atasimama ubunge kwa chama cha odm 2027 eneo la bunge langata baada ya mbunge wa sasa kukihasi chama(jalango)Eric Omondi kuna moves anazifanya lately zinanipa maswali mengi, ana mpango gani kisiasa?
Hizi moves anazozifanya sio za kawaida.