Errol Musk, baba wa Elon Musk asema yeye ni mtu wa Totoz na hajawahi kuona ama kukutana na mwanaume yoyote Duniani hapa ambae sio wa Totoz.

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Errol Musk, baba wa Elon Musk amefichua siri kwamba yeye ni mtu wa totozi. Mzee Musk ameenda mbali zaidi na kusema yeye amekula kuku na mayai yake na wala hakuna ubaya kula mayai kwa maana kwamba ametembea na kuzaa na binti yake wa kambo.

Mzee Musk alimuoa Heide, mkewe mwingine ambae walioana kwa miaka 18 na kisha kuachana miaka ya 90, Heide alikua na mtoto wa kike mwingine aitwa Jana Bezuidenhout, baada ya Musk kuachana na Heide, hakuwahi kumsikia wala kumuona Jana tena hadi mwaka 2014 ambapo Jana alimtafta baba yake wa kambo na kumwambia ana changamoto kadhaa. Mzee Musk alizaa na Haide watoto 2 wengine aa kike, wadogo wa Jana, Alexandra na Asha.

Baada ya wawili hao kuonana, walijikuta wakiangukia kwenye dimbwi la mapenzi mazito kupelekea kupata mtoto wa kiume mwaka 2017 na mwingine wa kike mwaka 2019.

Mzee Musk anasema hakuna ubaya kutembea na binti yako wa kambo na ni jambo la kawaida tu kama mnapendana.

Kuhusu totozi, mzee anasema yeye ni mtu wa totozi kama wanaumw wengine wote Duniani na hakuna mwanaume ambae sio wa totozi.

Soma hapa.

View: https://x.com/Am_Blujay/status/1890694399513722977?s=19
 
Yesu....🙆‍♂️
Trump amechagua kushauriwa na familia ilio laaniwa
 
Ikisu kipindwike
20250112_111221.jpg
 
Hao ni mafirii masoni
 
Back
Top Bottom