ESCROW: Jaji Werema ametangulia mbele za haki David Kafulila anakumbukwa kwa ushujaa aliounesha?

View attachment 3188723

View: https://youtu.be/WtR-R6t4_3I?si=GFTUg2eeFWxevoBn
Roho ya Marehemu ipate rehema kwa Mungu na ipumzike kwa amani -AMINA

Leo mara baada ya kupata taarifa za kifo cha aliyewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya awamu ya nne (4) chini ya Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Mhe Jaji Frederick Werema,

Haraka nikamkumbuka aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini Mhe David Zacharia Kafulila namna walivyo pambana Bungeni Jaji Werema akiitetea Serikali dhidi Kafulila aliyekuwa akiwatetea Wananchi katika kashfa ya uchotaji wa pesa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow zaidi TZS221 bilioni.

Sitaki kurejea sakati lile, Ila..

Shujaa David Kafulila pamoja na mapambano yale yote bahati mbaya shujaa huyu hakuwahi kutambuliwa popote Tanzania ( Officially) kama shujaa wa mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi zaidi ya watu kupambana kuhakikisha harudi tena Bungeni kabla na baada ya 2015.

Kifo cha Jaji Frederick Werema kinaturejesha na kutukumbusha kusahaulika kabisa kwa David Kafulila kwenye medani za siasa za kupamba na rushwa na ufisadi huenda hii ikawa ni ishara ya nchi yetu kuchukia wanaochukia rushwa na Ufisadi kwa moyo na nguvu zao zote aina ya David Kafulila.

Swali, Je, Leo hii kwanini hakuna tena akina Kafulila wengine Bungeni?

Soma pia AG Jaji Werema: Kafulila aliniita mwizi nikamwita "tumbili"

Mwaka 2030 kama maamuzi yangekuwa ni yangu basi David Kafulila ningemkabidhi Urais wa JMT mara baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumaliza muda wake ili apambane na rushwa na Ufisadi ulioota madevu na masharubu.

Je, ni wangapi mnawaza kama Mimi kuhusu Urais na Kafulila?

Mungu ibariki Tanzania,

View: https://youtu.be/Qg5dWRyjVOE?si=ako4Bhu7IRztYfv_

Kafulila ni hazina kwa Taifa kama atalelewa katika maandalizi hayo ya hapo baadae
 
Sijui wanavotuibiaga haya mahela uwa wanahis wataishi milele pumbavu

Marehemu apumzike alipojichagulia mwenyewe
 
Kafulila a.k.a tumbili ndio shujaa?? :Clueless:

Huyu mwongo na dalali wa wawekezaji uchwara?
Sio wawekezaji uchwara. Hata DP World mulisema ni uchwara kumbe mukasahau ilikiwa mbinu ya majirani zetu tusije kuwapita kupokea mizigo mingi ya bandari. Nafikiri sasa unaona manufaa ya DP World baada ya msemaji wa Serikali juuzi kuyasema ya Bandari .
 
Hebu fafanua vizuri hii mkuu
 
View attachment 3188723

View: https://youtu.be/WtR-R6t4_3I?si=GFTUg2eeFWxevoBn
Roho ya Marehemu ipate rehema kwa Mungu na ipumzike kwa amani -AMINA

Leo mara baada ya kupata taarifa za kifo cha aliyewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya awamu ya nne (4) chini ya Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Mhe Jaji Frederick Werema,

Haraka nikamkumbuka aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini Mhe David Zacharia Kafulila namna walivyo pambana Bungeni Jaji Werema akiitetea Serikali dhidi Kafulila aliyekuwa akiwatetea Wananchi katika kashfa ya uchotaji wa pesa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow zaidi TZS221 bilioni.

Sitaki kurejea sakati lile, Ila..

Shujaa David Kafulila pamoja na mapambano yale yote bahati mbaya shujaa huyu hakuwahi kutambuliwa popote Tanzania ( Officially) kama shujaa wa mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi zaidi ya watu kupambana kuhakikisha harudi tena Bungeni kabla na baada ya 2015.

Kifo cha Jaji Frederick Werema kinaturejesha na kutukumbusha kusahaulika kabisa kwa David Kafulila kwenye medani za siasa za kupamba na rushwa na ufisadi huenda hii ikawa ni ishara ya nchi yetu kuchukia wanaochukia rushwa na Ufisadi kwa moyo na nguvu zao zote aina ya David Kafulila.

Swali, Je, Leo hii kwanini hakuna tena akina Kafulila wengine Bungeni?

Soma pia AG Jaji Werema: Kafulila aliniita mwizi nikamwita "tumbili"

Mwaka 2030 kama maamuzi yangekuwa ni yangu basi David Kafulila ningemkabidhi Urais wa JMT mara baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumaliza muda wake ili apambane na rushwa na Ufisadi ulioota madevu na masharubu.

Je, ni wangapi mnawaza kama Mimi kuhusu Urais na Kafulila?

Mungu ibariki Tanzania,

View: https://youtu.be/Qg5dWRyjVOE?si=ako4Bhu7IRztYfv_

shida ya watanzania ni kwamba leo si unaona hakuna anayeuliza kabila la MH KAFULILA.lakini nakuhakikishia akichukua form ya kugombea urais watu wataanza kusema mara yeye ni mhutu wa burundi ,sijui rwanda au mnyamlenge wa kongo.hahahahaaa
 
Wenje ni muhuni
 
Back
Top Bottom