OffOnline
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 644
- 478
Kafulila Muha wa Kigoma UvinzaUnavielelezo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafulila Muha wa Kigoma UvinzaUnavielelezo?
Asante sana kwa taarifaKafulila Muha wa Kigoma Uvinza
doneWeka clip ya tumbili
View attachment 3188723
Roho ya Marehemu ipate rehema kwa Mungu na ipumzike kwa amani -AMINA
Leo baada ya kupata taarifa za kifo cha aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya awamu ya nne (4) Mhe Jaji Werema,
Haraka nikamkumbuka aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini Mhe David Zacharia Kafulila namna walivyopambana Bungeni katika kashfa ya uchotaji wa pesa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow zaidi TZS321 bilioni.
Sitaki kurejea sakati lile, Ila..
Kafulila pamoja na mapambano yale yote bahati mbaya Kafulila hakuwahi kutambuliwa popote Tanzania kama shujaa wa mapambano ya rushwa na ufisadi zaidi ya watu kupambana kuhakikisha harudi tena Bungeni kabla na baada ya 2015.
Kifo cha Jaji Werema na kusahaulika kabisa kwa David Kafulila kwenye medani za siasa za kupamba na rushwa na ufisadi ni ishara ya nchi yetu kuchukia wanaochukia rushwa na Ufisadi kwa moyo na nguvu zao zote.
Swali, Je, Leo hii hakuna akina Kafulila wengine Bungeni?
Soma pia AG Jaji Werema: Kafulila aliniita mwizi nikamwita "tumbili"
2030 kama maamuzi yangekuwa ni yangu basi David Kafulila ningemkabidhi Urais wa JMT mara baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumaliza muda wake ili apambane na rushwa na Ufisadi ulioota madevu na masharubu.
Je, ni wangapi mnawaza kama Mimi kuhusu Urais na Kafulila?
Mungu ibariki Tanzania,
View: https://youtu.be/Qg5dWRyjVOE?si=ako4Bhu7IRztYfv_
Nimeamua naona lissu ni mpimbavu tu kuanzia leo mimi ni ccm.👏👏👏 anafaa sana kwani ni jasiri sana
Lissu kazingua Nini mbona jamaa ni mwamba sana🤣🤣Nimeamua naona lissu ni mpimbavu tu kuanzia leo mimi ni ccm.
Ni covid 19Jesca yeye Kwa Sasa Yuko wapi?
Jesca ni CCMNi covid 19
View attachment 3188723
Roho ya Marehemu ipate rehema kwa Mungu na ipumzike kwa amani -AMINA
Leo baada ya kupata taarifa za kifo cha aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya awamu ya nne (4) Mhe Jaji Werema,
Haraka nikamkumbuka aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini Mhe David Zacharia Kafulila namna walivyopambana Bungeni katika kashfa ya uchotaji wa pesa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow zaidi TZS321 bilioni.
Sitaki kurejea sakati lile, Ila..
Kafulila pamoja na mapambano yale yote bahati mbaya Kafulila hakuwahi kutambuliwa popote Tanzania kama shujaa wa mapambano ya rushwa na ufisadi zaidi ya watu kupambana kuhakikisha harudi tena Bungeni kabla na baada ya 2015.
Kifo cha Jaji Werema na kusahaulika kabisa kwa David Kafulila kwenye medani za siasa za kupamba na rushwa na ufisadi ni ishara ya nchi yetu kuchukia wanaochukia rushwa na Ufisadi kwa moyo na nguvu zao zote.
Swali, Je, Leo hii hakuna akina Kafulila wengine Bungeni?
Soma pia AG Jaji Werema: Kafulila aliniita mwizi nikamwita "tumbili"
2030 kama maamuzi yangekuwa ni yangu basi David Kafulila ningemkabidhi Urais wa JMT mara baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumaliza muda wake ili apambane na rushwa na Ufisadi ulioota madevu na masharubu.
Je, ni wangapi mnawaza kama Mimi kuhusu Urais na Kafulila?
Mungu ibariki Tanzania,
View: https://youtu.be/Qg5dWRyjVOE?si=ako4Bhu7IRztYfv_
Kwani wewe utaishi MILELE?Ukiwa katika madaraka tenda haki...ili ukifa watu waone utu wako. CCM mna jambo la kujifinza hapa.
Maisha ya Duniani ni maua.
Kwakweli kama Kuna mtu aliipambania nchi yake basi pia ni huyu Kafulila, Mungu atamlipa sawa sawaKwani wewe utaishi MILELE?
Kafulila kwanini alimwacha Jesca au Jesca ndio alimwacha Kafulila?Kama mke wa Kafulila anayelala nae kitanda kimoja huku akimkuna kitambi hana imani na Kafulila na anamuona ni mwanasiasa asiye na msimamo wewe chawa utatuambia nini?View attachment 3188727
MAKONDA labda Uwaziri mkuu Urais haweziP. Makonda anatosha wengine chenga tu
View attachment 3188723
Roho ya Marehemu ipate rehema kwa Mungu na ipumzike kwa amani -AMINA
Leo baada ya kupata taarifa za kifo cha aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya awamu ya nne (4) Mhe Jaji Werema,
Haraka nikamkumbuka aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini Mhe David Zacharia Kafulila namna walivyopambana Bungeni katika kashfa ya uchotaji wa pesa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow zaidi TZS321 bilioni.
Sitaki kurejea sakati lile, Ila..
Kafulila pamoja na mapambano yale yote bahati mbaya Kafulila hakuwahi kutambuliwa popote Tanzania kama shujaa wa mapambano ya rushwa na ufisadi zaidi ya watu kupambana kuhakikisha harudi tena Bungeni kabla na baada ya 2015.
Kifo cha Jaji Werema na kusahaulika kabisa kwa David Kafulila kwenye medani za siasa za kupamba na rushwa na ufisadi ni ishara ya nchi yetu kuchukia wanaochukia rushwa na Ufisadi kwa moyo na nguvu zao zote.
Swali, Je, Leo hii hakuna akina Kafulila wengine Bungeni?
Soma pia AG Jaji Werema: Kafulila aliniita mwizi nikamwita "tumbili"
2030 kama maamuzi yangekuwa ni yangu basi David Kafulila ningemkabidhi Urais wa JMT mara baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumaliza muda wake ili apambane na rushwa na Ufisadi ulioota madevu na masharubu.
Je, ni wangapi mnawaza kama Mimi kuhusu Urais na Kafulila?
Mungu ibariki Tanzania,
View: https://youtu.be/Qg5dWRyjVOE?si=ako4Bhu7IRztYfv_
Kikubwa hamna ambaye atabakia,Unawaibia watanzania lakini mwisho wake ni mauti. Unaacha kila kitu ulichoiba. Enyi viongozi mwisho wa wizi ni mauti
Hata Wewe ulikuwa UVCCM mbona Leo unasema mfuuTumbili atakumbukwa Kwa kusaliti mageuzi naye muda sio mrefu atakufa kama ambavyo dictator magufuli alivyokufa.
Nikwelikil nafsi itaonja mauti lazima ila Mungu atupe mwisho mwemaKikubwa hamna ambaye atabakia,
Amen, ni kweli lakini lazima tuishi pia vizuri dunianiNikwelikil nafsi itaonja mauti lazima ila Mungu atupe mwisho mwema